Natafuta mke wa kuoa

lugabussa

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
560
511
Mimi ni kijana mwenye miaka 27, naishi mkoa wa Kigoma, natafuta mke wa kuishi naye maishani na tuwe mke na mume.

Sifa zangu muoaji
1. Elimu ngazi Shahada ya Kwanza(Bachelor degree).
2. Mwembamba kiumbo.
3. Mrefu.
4. Kazi - Shughuli ndogondogo, bado sijaajiriwa.
5. Dini - Islamic.
6. Sina mtoto, wala sijawahi kuoa.


Sifa za mke (mwanamke) ninayemhitaji
1. Awe mweupe kwa rangi.
2. Awe mzaliwa wa mikoa ya Singida, Dodoma, Tabora au Pwani.
3. Awe na umri kati ya 21-26.
4. Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
5. Asiwe na magonjwa ya kurithi.
6. Awe muslim.
7. Awe bado hajazaa (hana mtoto).
8. Awe tayari kupima afya.

Ambaye anahitaji aje PM tuyajenge, karibuni sana.
 

Get Rich

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
2,837
6,216
+255689722141
yuko kigoma.
ana sifa unazo taka

sema tu ana kakiburi na mjuaji kiaina, si unajua tena wakishapata Degree
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom