Nina miaka 29, natafuta Mume

Madam! Mbona kama umepaniki? Tukiachana na 2-0 bado tuna mashaka na elimu yako. Tunaomba sana usije ukajinyonga, relax! Andika vizuri.

SWALI: Je, hao watoto ni baba mmoja au tofauti? Kama ndiyo, au hapana, makaburi/kaburi yao/yake liko/yako wapi? Majibu yakiwa magumu, fungua moyo, vijana waweke na kuacha. (kidding)

NB: SIO LAZIMA KILA MTU AOLEWE.
 
Huwa najiuliza kwa nini mtu anatoa tangazo kama hili.

1. Anataka kujua kama watu wanaamini hii ni njia sahihi na yeye aendelee kutafuta kwa njia hii
2. Mume au mwenza hawezi kutafutwa kwa njia hii.. Bado njia za asili zipo.. Kama ulipata watoto 2 na bado hukuweza kuweka mpango wa kudumu na hawa early investors.... Kulikuwa na shida gani kwako au kwao ? Anzia kutibu tatizo hilo..

3. Baada ya hapo .. Ukimaliza problem ya early investors, sasa unaweza kuvutia mume halisi. Wanaume wako na mahitaji tofauti tofauti ya mke. Hata wewe unaqualify kabisa. Lakini uwe unavutia uwafanye wanaume wavutiwe nawe, sio kujirahisisha bali, pulling effect. Wakati ukiimarisha uchumi na profession yako mume atakuja tu.. humo humo kwenye shughuli zako! hakuna wanaume wanaokutongoza kwa sasa, hayo ni majibu ni mwanaume wa aina gani unawavutia.
 
Mwalimu, muandiko wako unanipa wasiwasi elimu unayowapa wanetu..mbali na hilo Mungu akupe hitaji lako kadiri aonavyo inafaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom