Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari za jioni ndugu zangu, Nimeamua kuja hapa kueleza hisia zangu yawezekana kuna atakayeguswa na Mimi. Mimi Nina miaka Kati ya 30-36 naishi Dar es salaam, nimekuwa mpweke Kwa muda mpaka...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38. Naandika kutafuta mwenza wa maisha wa jinsia ya kike. Sifa zangu Miaka 38 Muajiriwa Mkristo Msukuma. Sifa za mwanamke nimtakae. Umri 27-40 Mkristo, Kama...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye miaka 27, naishi mkoa wa Kigoma, natafuta mke wa kuishi naye maishani na tuwe mke na mume. Sifa zangu muoaji 1. Elimu ngazi Shahada ya Kwanza(Bachelor degree). 2. Mwembamba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama title inavojieleza hapo, natafuta mwanamke atakaekua mpenzi na mwisho wa siku mke wa ndoa.. SIFA Umri: Miaka 20 - 23 Dini: Mkristo itapendeza zaidi lakini si lazima sana Elimu: Siangalii...
2 Reactions
3 Replies
776 Views
I don't have idea hii ita work but Mungu ndio mjuzi. Personal sipendi kufukazana na pilika za Mapenzi sio kamchiti huyu ana date na huyu amekuwa Ex unakuta instead kutumia muda mwingi kujenga...
1 Reactions
8 Replies
688 Views
1 Reactions
0 Replies
411 Views
Sifa zake: 1. Awe na hofu ya Mungu. 2. Awe tayari kupima HIV. 3. Asiwe mfupi, Rangi yeyote ile, maana mimi mwenyewe ni mrefu 4. Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne, sita, hata chuo kikuu. 5...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Jamani mimi ni mwanaume. Umri wangu ni very late 20. Natafuta mwanamke/msichana yeyote ambaye ni childfree by choice. Yaani yeye mwenyewe akiwa na akili zake timamu bila kusukumwa na mtu wala...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
☆Awe na kazi yake ya kuajiliwa au kujiajiri ☆Asiwe na njaa ☆Asiwe na mtoto anaemtegemea ☆Awe huru asiwe na vidumu a.k.a madume wengine ☆Dini au rangi sio ishu Single Mazaz Karibuni
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Mimi ni wanamke ninae penda kuwa na amani na furaha wakati wote. Natafuta mume, niliwahi kuolewa lakini hatukupata watoto, mimi sina watoto na ambae pia hana watoto, ili tupate watoto wetu...
26 Reactions
629 Replies
36K Views
Mi ni single mom, mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe Mkristo, umri kuanzia 35+, asiwe Muhaya wala Mkurya, awe anajishughulisha! ASANTE.
19 Reactions
211 Replies
11K Views
Mimi natafuta marafiki wakubadilishana mawazo. Sifa awe anajielewa mtaratibu na mwenye heshima . Sichagui jinsia hata wote tu .
7 Reactions
60 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu na nimeajiriwa serikalini, si mrefu, si mfupi, nina kama cm 168. Naitaji mke mwenye elimu na aliyeajiriwa serikalini au...
2 Reactions
52 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume, umri miaka 30 , elimu degree ya ualimu , kwa sasa ni mfanyabiashara mdogo , natafuta mke wa kuoa kwa aliye serious anichek Pm. awe hana mtoto umri miaka 27, kushuka, dini...
3 Reactions
1 Replies
478 Views
Rafiki yangu anahitaji mke, anaishi Nairobi Kenya. Umri wake ni 40, mrefu, mweusi. Vigezo Umri 35-38, akiwa mwalimu itapendeza. Awe maji ya kunde, Mkristo na mtoto asizidi mmoja. Yeye ana mtoto...
1 Reactions
6 Replies
639 Views
Hello wana JF, Naitwa B, umri wangu 32, nipo Mwanza, dini Mkristu. Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo; Umri kuanzia 23 na kuendelea, elimu kidato cha nne na kuendelea, mwenye akili na...
1 Reactions
85 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 27 Rangi - Mweusi. Dini - Muislam. Elimu - Shahada kwenye Nursing. Ajira - Sijaajiriwa kwasasa, ni mjasiliamali. Natafuta mke: ~ Awe Muislamu [emoji3521]. ~ Awe na uwezo...
0 Reactions
76 Replies
4K Views
Natafuta mchumba wa kike, awe mweupe wa saizi, asiwe mnene sana wala asiwe kajichubua. Awe mrefu, elimu kuanzia kidato cha nne hadi chuo, umri asipungue miaka 20 wala asizidi miaka 25, asiwe...
1 Reactions
5 Replies
848 Views
Salaam, Natafuta rafiki ambaye ataenda kuwa mke wangu. Nina miaka 34, ni mkazi wa Arusha, awe na miaka kuanzia 25 mpaka 32, Mkristo, kabila lolote. Kwa aliyetayari na mhitaji karibu PM kwa...
2 Reactions
0 Replies
540 Views
Habari zenu wakuu? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza natafuta mke wa kuoa awe serious na maisha umri miaka 24_30 kabila lolote ili mradi awe mtanzania dini sichagui wala rangi sijui...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom