Natafuta mke wa kuoa

Nahita

Member
Jul 15, 2018
54
45
Mimi ni mwanaume wa miaka 27
Rangi - Mweusi.
Dini - Muislam.
Elimu - Shahada kwenye Nursing.
Ajira - Sijaajiriwa kwasasa, ni mjasiliamali.

Natafuta mke:
~ Awe Muislamu .
~ Awe na uwezo wa kufanya na kusimamia biashara.
~ Rangi - Maji ya kunde angalau ili tukileta kizazi kipya kiwe katikati .
~ Awe anajua dini walau awe kamaliza juzuu 1.
~ Awe tayari kuishi kokote nje na ndani ya Tanzania.

Nyongeza, elimu ya kompyuta, kama hawezi basi awe tayari kujifunza.

Ahsante.
20221122_170849.jpg
 
Yeah natambua ilo Sana lazima apite kwenye mizani ndo afanikiwe
 
Kila la heri mkuu

Kwa uzoefu wangu naona ni rahisi kupata mke mwema ukiwa muislamu kuliko ukiwa dini zingine,

Wife material wa kiislam wamejaa sana kitaani.

Binti wa kiislam akiwa na miaka 20 yupo tayari kuolewa na wazazi wake wanamsapoti aolewe akipata mume.

Ila binti wa kikristo wa miaka 20 hayupo tayari kuolewa. Na hata akitokea mume anataka afunge nae ndoa.. wazazi wa kikristo wanakataa kwa kusema binti yao bado ni mdogo
 
Dah mzee labda inategemea mazingira uliyopo maana iku kwetu wamejaa kristian kila ukizunguka unakuta ndo moyo unaangukia apo
 
Hapo ndo tatizo linapoanzia mkuu maana kibunda sina cha kutosheleza aje tukitengeneze
 
Unapokea mshahara au unakipato cha M2 kwa mwezi ? Mke huyu hapa She Quoted you na uzi huu apa chini nawakutanisha

 
Unapokea mshahara au unakipato cha M2 kwa mwezi ? Mke huyu hapa She Quoted you na uzi huu apa chini nawakutanisha

2M labda ya kuchora chini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom