Habari natafuta rafiki wa kike ambaye tutaoana

proton pump

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
5,341
6,879
Habari! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, natafuta rafiki wa kike ambaye tutaoana kabisa.

Sifa:
Sichagui rangi cha msingi awe Mtanzania
Awe mrefu Kuanzia 5 feet tall
Sichagui kabila
Umri Kuanzia 22 hadi 28

Elimu
Kuanzia kidato cha nne na kuendelea
Awe ana uwezo wa kupambana haijalishi ana ajira au Hana kwa sababu maisha ni mapambano.

Sifa zangu

Mimi ni maji ya kunde
5.6 feet tall
Nina bachelor degree pia nimejiajiri

Aje PM
Asante.
 
Hivi kigezo cha Elimu hua mnakitumia kwa mantiki gani Mkuu, samahani lakini.
Kimsingi awe na uwezo kusoma na kuandika kiswahili pamoja na kiingereza kwani dunia tunakoelekea na mabadiliko ya teknolojia yanahitaji walau uwe na uwezo wa kutumia lugha hasa kiingereza, french n.k mfano simu au kujaza form yoyote hata za benki zimeandikwa kwa kiingereza
 
Wewe sasa ndio Mwanaume. Hongera sana, na ukipata naahidi kukuchangia laki moja ya sherehe. Utanifuata PM.

MUNGU akubariki karibuni chamani
Nashukuru sitaki wale kataa ndoa maana kizazi kinaangamia kwa kukosa maarifa
 
Habari! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, natafuta rafiki wa kike ambaye tutaoana kabisa.

Sifa:
Sichagui rangi cha msingi awe Mtanzania
Awe mrefu Kuanzia 5 feet tall
Sichagui kabila
Umri Kuanzia 22 hadi 28

Elimu
Kuanzia kidato cha nne na kuendelea
Awe ana uwezo wa kupambana haijalishi ana ajira au Hana kwa sababu maisha ni mapambano.

Sifa zangu

Mimi ni maji ya kunde
5.6 feet tall
Nina bachelor degree pia nimejiajiri

Aje PM
Asante.
Huku utaishia kupata wanawake vimeo tu. Fanya hivi, ikifika saa moja jioni nenda uwanja wa fisi ukajichagulie unayemtaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom