Jamani ndugu zangu mimi naitwa marwan niko kenya mombasa natafuta mchumba mzuri mwenye mpenzi la kweli awe na umri wa miaka 20 mpaka 23 yeyote mwenye yuko tayari anipigie +254702579780 ama emil...
WanaJF wenzangu Salamu,
Kumekuwepo na threads kadhaa za kutafuta wenza (wachumba, Marafiki, wake na waume) nafurahi wanaJf wamekuwa wakichangia kwa hali yoyote ile ili kuwafanikishia lengo...
Ndugu zangu habari za saa hizi
Najua wengi wetu tumeishapona vidonda vya uchaguzi na mimi ndo nimemaliza hekaheka za uchaguzi naweza kupumzka nyumbani. Mapumziko yangu yamenifanya nitafute mwenza...
Jamani wanaJF,
a) Wanaopenda kukandia karibuni
b) wenye nia njema karibuni saaaana!
Lengo
Natafuta mchumba aliyekamili na tayari kwa ajili ya ndoa Sifa:
i. Mlokole wa kweli
ii. Kati ya 21...
hi ladies
am immanuel
am 25 yrs
mimi ninaingia chuo maka huu
nimepa chuo nje ya nchi huko mozambique
urefu wangu ni wastani na rangi yangu ni maji ya kunde
ninahitaji mpenzi awe mzuri
elimu yake...
Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila mafanikio, imenibidi nije hapa jukwaani ili kama kutakuwa na matatizo ya mtu kama mimi basi tuweze kujiunganisha. Nipo serious katika hili na hakuna utani...
Wana JF yoyote yule aliye tayari aniPM nimuunganishe na huyu mama anatafuta mchumba kwa udi na uvumba!
Sifa kubwa nikuweza kuhimili turbo hilo maana likifunguka turbo hili kuzima ni Dk 25 baada...
There is a say that "there is so many women but few wives"SO i need one from these few jamani!
My introduction-Naitwa john miaka 25,nipo mwaka wa tatu chuo cha mlimani UDSM,kabila langu ni mhee...
Wapendwa wadada wa JF,
Kwa heshima na taadhima naomba kuwafahamisha kuwa mimi natafuta msichana ambaye na yeye anatafuta mwanaume ili kuweza kufunga ndoa na kuachana na maisha ya Ukapera...
Wanajamvi natafuta mwenza, me ni mama wa mtoto mmoja. Kutokana na sababu zisizozuilika nimetengana na mwenzangu. Nimekuwa mpweke kwa muda. Naomba msinibeze . Nawasilisha.
sifa.
1. Awe DADA mlokole .
2. Awe mzima wa roho na mwili.
3. Asiwe amewahi kuonjesha kwa makusudi.
4. Awe na elimu yoyote.
5. Asiwe mzee sana ( age 18-30).
Deadline 20 january 2012...
THIS IS NOT A JOKE:
NATAFUTA MSICHANA AU MWANAMKE WA KUMFANYA MCHUMBA NA HATIMAYE MKE:
SIFA ZAKE:
i. UMRI KUANZIA MIAKA 18 MPAKA 32
ii. ELIMU DARASA LA SABA HADI FORM SIX (ASIWE NA...
I am a man of below 30 yrs
natafuta mchumba awe mwalimu, miaka kati ya 24-27
mcha Mungu(mi ni mkristu), mwenye upendo, mkarimu, awe tayari kupima afya yake.
PM me please for further contact
I...
I am a man of below 30 yrs
natafuta mchumba awe mwalimu, miaka kati ya 24-27
mcha Mungu, mwenye upendo, mkarimu, awe tayari kupima afya yake.
PM me please for further contact
I present
Hi! naitwa paul nina umri wa miaka 28,ni mwanafunzi wa chuo .natafuta mchumba ili mungu akipenda,aje kuwa mke wangu wa ndoa.anatakiwa awe mkristo na mwenye hofu ya mungu,umri kati ya 18-26.kama...
Mimi ni mtanzania ninayeishi Scandinavia na nimechukua uraia wa hapa. Natafuta mpenzi/mchumba anayeishi Europe kwa sababu itakuwa ni rahisi kutembeleana na kuwasiliana. Mimi ni mtaratibu, mkimya...