Mke: Natafuta mchumba/mke yaani ninahamu kweli ya kumiliki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke: Natafuta mchumba/mke yaani ninahamu kweli ya kumiliki

Discussion in 'Love Connect' started by Logo, Mar 1, 2011.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani wanaJF,
  a) Wanaopenda kukandia karibuni
  b) wenye nia njema karibuni saaaana!

  Lengo
  Natafuta mchumba aliyekamili na tayari kwa ajili ya ndoa Sifa:
  i. Mlokole wa kweli
  ii. Kati ya 21 hadi 24
  iii. Akiwa mweupe ni extra sifa
  iv. Awe na shule kuanzia FM4 na kuendelea
  v. Awe na kazi/uchumi asiwe golikipa.
  vi. Siyo siri napenda awe mrembo tena haswaaaaaaa!
  vii. Awe tayari kufahamiana namimi kwa kina NGONO KABLA YA NDOA HAIPO!

  Sifa za Zinazopewa kipaumbele.
  i. Ulokole wa kweli
  ii. Maono ya kumtumikia Mungu
  iii. Idea ya kuwa Mama Mchungaji

  Nb: Napatikana central Tanganyika! Nami pia najishughulisha na uchumi. Sifa zingine zote nitakupa baada ya kuwasiliana at the first time! Niandikie email: dmadulu@yahoo.com SHETANI HANA NAFASI HATA KAMA NI KWA LIPI, MUNGU MAPENZI YAKO NA YATIMIZWE!
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  kwani ulokole wa kweli ndio ukoje ndugu yangu.....
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Vigezo vinamlenga mtu humu nini?
   
 4. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 5. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Halengwi mtu ndugu yangu! Ni kama wewe unavyoweza kupanga vitu kama unavyotaka!
   
 6. N

  Nothing4good Senior Member

  #6
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ha ha ha ha bila shaka huko central tanganyika unavua samaki, naweza pata dagaa wa kigoma?
   
 7. LD

  LD JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha ha ha ha!!!!
   
 8. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  wachungaji wa aina hii ndio wanaoharibu sifa za wachungaji wenzao walio wema na nia njema ya kumtumikia mungu! Toka ulikozaliwa, mashuleni, makazini kwako, majirani yako mpaka ndani ya kondoo unaowaongoza/tarajia kuwaongoza umeshindwa kuona mchumba, itakuaje hapa jf ambako hatufahamiani kihivo???wewe unaroho "mtaka vitu" na siyo "mtakatifu"! Ushindwe katika jina la bwana aliye juu!
   
 9. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Samahani meshimiwa! namaanisha Nipo capital Tanzania
   
 10. LD

  LD JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
   
 11. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mungu siku zote hatumii barabara ya mchina kama tulivyozoea wengi! Njia zake hazichunguziki! JF can be the one way to my best life!
   
 12. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 13. CPU

  CPU JF Gold Member

  #13
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mke mwema hana RANGI wala MAPODOZI.
  Mke mwema anatoka kwa Bwana.

  Then naona unachumbia hata kabla hujaonana na mwanamke husika, hata muda wa kusoma tabia hutaki, mbele ya safari akianza vituko si utaanza kusema kaingiliwa na shetani?
   
 14. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Siku hizi ni Wachumba, Wake, waume, sijui na nini tena??

  Si mchezo Bwana akubariki mpendwa katika yesu utapata
   
 15. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  NAONA UMEDHAMIRIA KWELIKWELI! ILA WADADA WA jf KUWENI MAKINI NA MTU HUYU! WENGI WAMETUMIA KIVULI CHA MUNGU ILI KUFANIKISHA UDHALIMU WAO!
   
 16. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kuna mdada anaitwa mary-will nae anatafuta mchumba knye thred yake utaiona, jf imewakutanisha kazi kwenu ushindwe mwenywe hata kama una domo zege mwenyewe anataka na wewe unataka jf amewarahisishia kazi kwenu
   
 17. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika neno la Mungu linasema: Inuka uende ule na uishi pamoja na mke umpendaye maana hakuna kitu kingine kimapchofuraha mwanadamu katika dunia hii! Njoni tusemezane nielezeni haja zenu mpate kupewa haki yenu! CPU nikioa mwanamke ambaye hajafikia kiwango cha moyo unavyotaka itaenda? Elewa pia hata kwa Mungu warembo wapo na wanachati na Mungu haswaaaa na kinaeleweka!
  Then hata mke mrembo naye anaweza kutoka kwa Bwana si wote waliowarembo wao ni wa shetani au hawatoki kwa Bwana!

  Masuala ya kufahamiana yapo tu kwani sipeleki mahari moja ka moja kuna process nyingi so kitaeleweka tu hapo katikakti! Kingine pia bwana CPU Mke aliye wako na haswa mwenye sifa nilizozipa kipaumbele lazima tu ataniona katika ulimwengu wa Roho kwani ADAMU ALIPEWA MUDA GANI WA KUFAHAMIANA NA HAWA? huoni kuwa just alijikuta akisema huyu ni ubavu wangu...... cha Mungu is directly not need more akili ya Mwanadamu!
  Wabeja!
   
 18. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Nenda Q-Bar au Jolly au Ohio Street utawapata walokole wengi sana wa kweli!
   
 19. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwanamke mwenye sifa hizo kaka hayupo mungu hatoe vyote unapaswa umuombe akupe mke mwema.
   
 20. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ushaona ee? But what is this kwenye red?
   
Loading...