Natafuta Mchumba

haibreus

JF-Expert Member
Oct 1, 2009
295
106
Mimi ni Mwanaume,naishi Dar ,ni Mtanzania halisi,natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 19-24.Umri wangu ni miaka 34.Sibagui dini wala kabila,mimi ni Muislamu,ninafanya kazi kama mhandisi.kwa ambae yupo serious naomba ani PM.Nitapenda ambae yupo tayari basi tupime afya zetu kwanza.Nitashukuru kama ombi langu litafanikiwa.
 
sasa naamini kwamba nimeshazeeka, i wish ningekuwa between 19-24,sasa hivi ningekuwa nimeshaolewa:help:
 
Kwa umri wako

ukirudi kutazama mabinti wote uliowapitia ambao bado hawajaolewa
hukosi mchumba......
Na kama wote hawafai..basi we una tatizo.....
Any way good luck....
 
JF sasa imegeuka mbao za matangazo za kutafutia wenza.

Vijana siku hizi hawajui tena kutongoza!

Dunia tunapita!
 
aha jamani do you think that you can get a nice wife in the net aise. kwanza hata pic yako huja weka hujui kma untaka wife hiyuo ni muhimiu ili akujue fiti. pia mi nafikiri yule wamahusiano ya ana kwa ana utapata kumjua fiti zaidi ya huyu wahuku
 
JF sasa imegeuka mbao za matangazo za kutafutia wenza.

Vijana siku hizi hawajui tena kutongoza!

Dunia tunapita!

Ndio maendeleo ya sayansi na teknolojia hayo. Zamani magari yote yalikuwa "manual transmission" siku hizi kuna hadi magari makubwa yenye "automatic transmission". Anayeendesha gari automatic na yule anayeendesha manual wote wanaendesha magari na hakuna sababu ya kumdhihaki yule asiyejua kuendesha gari ya automatic transmission.
 
Kwa umri wako

ukirudi kutazama mabinti wote uliowapitia ambao bado hawajaolewa
hukosi mchumba......
Na kama wote hawafai..basi we una tatizo.....
Any way good luck....

Na kama hajawahi kumpitia hata mmoja?
 
Mimi ni Mwanaume,naishi Dar ,ni Mtanzania halisi,natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 19-24.Umri wangu ni miaka 34.Sibagui dini wala kabila,mimi ni Muislamu,ninafanya kazi kama mhandisi.kwa ambae yupo serious naomba ani PM.Nitapenda ambae yupo tayari basi tupime afya zetu kwanza.Nitashukuru kama ombi langu litafanikiwa.

Haibreus, ngoja nikurahisishie kazi pitia uzi za wadada waliokuwa wanatafuta wachumba/waume sikumbuki idadi kamili ila walikuwa wengi natumani utapata something from there, Good luck!!!!
 
Kwa umri wako

ukirudi kutazama mabinti wote uliowapitia ambao bado hawajaolewa
hukosi mchumba......
Na kama wote hawafai..basi we una tatizo.....
Any way good luck....

Duh, mkuu unaua kabisa bila hata kumuangalia usoni, ...!!
 
Kwa mtazamo wangu mtu anae tafuta MKE/MUME kwenye mitandao kwa haraka tu hua namchukulia kama kicheche tena wakuogopwa sana.
Binafsi hainiingii akilini unakuta mtu ana 24 or 45 years eti nae anatafuta mke mtandaoni anaakili timamu huyu?
Hadi anafikia age hiyo alikua anaishi angani? In this case i think there 2 things involve..........
(1) .Yawezekana hawayajui mahitaji yao ya kimwili ,kijamii na kiroho
(2)..Kutamani kupata yale mapenzi kama yale ya kwenye VIDEO na kudhani waliopo humu jukwaani ndio wenyewe .

Au ni MAFATAKI ya laana hata yakapoteza sifa kwenye jamii husika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom