Dah! Umri wako mkubwa sana.
Im interested but u r too far and i cant handle long distance relationship ..lol
Mcha Mungu wa dini gani? Weka wazi zaidi.
humu ndani wengi wanatafta wake, inamaana wanaotafta waume hampo?
kuna kigezo cha uchamungu aisee! au tayari umeokoka? juzi si tulikuwa tunaserebuka sehem sehem wewe?Mimi niko interested ili mradi usijali elimu yangu..sura wala mambo ya kazi!!!
umri sio mkubwa sana labda useme we ni mdogo sana
kuna kigezo cha uchamungu aisee! au tayari umeokoka? juzi si tulikuwa tunaserebuka sehem sehem wewe?
hapo red utasababisha sred ipelekwe jukwaa la wakubwa ujue.Bahati yangu usiilalie bila kubana kofuli!!
Hahahahaha....habari ndo hiyo....utashindwa hata kukimbiza mwizi!!hapo red utasababisha sred ipelekwe jukwaa la wakubwa ujue.