Natafuta mchumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba

Discussion in 'Love Connect' started by Mkimbizi, May 18, 2011.

 1. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimekaa mpweke kwa muda sasa lakini natafuta mchumba(msichana) mwenye vigezo vifuatavyo:
  Umri: 18-21
  Shule: Awe amesoma/anapenda kusoma/ anapenda kujiendeleza
  Dini: Yoyote ilimradi tutaishi kwa kuheshimu imani ya mwenzako
  Kabila: lolote
  Rangi: yoyote
  Vilevi: Awe anatumia(kidogo) au la sio tatizo
  Sigara: NO
  Size ya mwili: Asiwe mnene
  Urefu: wowote

  Awe nadhifu, msafi, mrembo, mwenye kujiheshimu.

  Mimi ni mpenda maendeleo, mjasiriamali, ila mbishi!
   
Loading...