mchumba wa kike ataekubali hili..

Ndevu mbili

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
379
40
hi JF members!
Nilipanga mwaka huu kuja bongo...bahat mbaya hali ya hewa imeharibu mambo mengi...sasa natafuta wakumuoa awe mwenye huruma na mwingi wa subira.
Ataekubali muda mwingine ntakua nae mbali,ntamuhudumia huduma zote muhimu...kwa mitazamo ya huko ataonekana ni boss.
Namkaribisha !
 
He wewe huduma zote muhmu wakati uko mbali how?au sema mahtaji yote yakifedha na mali bt muhmu kabisa hutaweza,just a challenge,
 
hebu dadavua kwanza muonekano wa boss ni upi?manake hiyo ni tungo tata,inategemea na walinganishwaji!
 
sasa ukiwa mbali ile huduma muhimu inayokupelekea uoe hutaweza kuitoa ukiwa mbali by the nipo tayari ni pm
 
bakhti haiji mara mbili,nlivyo mvivu nnapenda kutafutiwa ngoja nichangamke.....hhahhahaah nataka kuishi kiboss
 
siyaneni hayo ajili ya kuonesha niko vzur...
Ndio hali halisi kwa mimi.
Sipendi kudanganyika....
Sipendi mwenye moyo wa juu...awe kawaida japo
Takua naishi ka'boss!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom