natafuta girlfriend

joskill

Member
Apr 7, 2011
52
10
natafuta msichana ambaye nataka awe partner wangu for mo info call 0713639371:israel:
 
Kuna kajukwaa kenu kule juu kanaitwa Love Connect, ndio wamejaa huko! Peleka hayo maelezo na hiyo namba ya simu huko, utapata tu kule wamejaa!
 
Kuna kajukwaa kenu kule juu kanaitwa Love Connect, ndio wamejaa huko! Peleka hayo maelezo na hiyo namba ya simu huko, utapata tu kule wamejaa!

Hahaha...mkuu hucheleweshi....mwambie akajaribu na Fesibuku kule...kuna wauza sura lukuki.
 
unajua kwenye jamii forum kuna watu gani!!!???...........................

great thinker lakini si wa kutafuta wapenzi!
 
unajua kwenye jamii forum kuna watu gani!!!???...........................

great thinker lakini si wa kutafuta wapenzi!
 
Mbona hili jukwaa ndio love connect? Unataka akaulize wapi? Hapa ndipo mahali sahihi pa swali lake.
 
Mbona hili jukwaa ndio love connect? Unataka akaulize wapi? Hapa ndipo mahali sahihi pa swali lake.

me nawashangaa hao, me niko mahali penyewe kama hawataki c wakae kimya, alllah!!!
 
mchumba bila vigezo ukipata asiye na sifa utafanya je? ukimkataa bila sababu utaonekana ulikuwa unawasanifu wajitokeze uwachore tu, kuwa makini na suala lako.
 
Hivi hata kusoma majina ya majukwaa mnashindwa? Kama vipi vaa miwani uelewe vizuri sehemu ya kutafuta wachumba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom