Natafuta rafiki wa kike

grafani11

JF-Expert Member
May 24, 2011
15,442
5,807
Mimi ni kijana mwana JF mwenzenu najitokeza kwa mara ya kwanza kutokea DSM kutafuta mwanadada/msichana mrembo wa kunifaa. Sifa zangu ni; Umri miaka 34, Kabila Mtanzania, Mtoto wa mkulima anayekwenda na wakati, Urefu ft 6, Elimu ya chuo. Kwa kuwa mimi napenda kusoma,kupumzika/kutoka sehemu tulivu na kubadilishana mawazo ya kimaendeleo nk. Ningependa na yeye awe na sifa zifuatazo; Kabila lolote, Mrefu kidogo, Umbo la kiafrika, Asiwe mpenda vitu bali mpenda Utu maana mimi ni mtoto wa mkulima sio wa wenye vijisenti, Aliyenizidi Umri kidogo sio shida kwani ni namba tu ila wa chini yangu ni bora zaidi. Thanx-:A S-rose:
 
du! kaka post ya kwanza tu umekimbilia kutafuta binti? hujaona jukwaa la utambulisho?
but
you are welcome
 
Mimi ni kijana mwana JF mwenzenu najitokeza kwa mara ya kwanza kutokea DSM kutafuta mwanadada/msichana mrembo wa kunifaa. Sifa zangu ni; Umri miaka 34, Kabila Mtanzania, Mtoto wa mkulima anayekwenda na wakati, Urefu ft 6, Elimu ya chuo. Kwa kuwa mimi napenda kusoma,kupumzika/kutoka sehemu tulivu na kubadilishana mawazo ya kimaendeleo nk. Ningependa na yeye awe na sifa zifuatazo; Kabila lolote, Mrefu kidogo, Umbo la kiafrika, Asiwe mpenda vitu bali mpenda Utu maana mimi ni mtoto wa mkulima sio wa wenye vijisenti, Aliyenizidi Umri kidogo sio shida kwani ni namba tu ila wa chini yangu ni bora zaidi. Thanx-:A S-rose:
Join Date : 24th May 2011
Posts : 1
Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0
 
Mimi ni kijana mwana JF mwenzenu najitokeza kwa mara ya kwanza kutokea DSM kutafuta mwanadada/msichana mrembo wa kunifaa. Sifa zangu ni; Umri miaka 34, Kabila Mtanzania, Mtoto wa mkulima anayekwenda na wakati, Urefu ft 6, Elimu ya chuo. Kwa kuwa mimi napenda kusoma,kupumzika/kutoka sehemu tulivu na kubadilishana mawazo ya kimaendeleo nk. Ningependa na yeye awe na sifa zifuatazo; Kabila lolote, Mrefu kidogo, Umbo la kiafrika, Asiwe mpenda vitu bali mpenda Utu maana mimi ni mtoto wa mkulima sio wa wenye vijisenti, Aliyenizidi Umri kidogo sio shida kwani ni namba tu ila wa chini yangu ni bora zaidi. Thanx-:A S-rose:

mwenye nia awasiliane na wewe kwa njia gani?
 
loh!makubwa....kuanza na kuanza tu unatafuta kibinti,...kumbe JF kuna mademu wa kumwaga eh?kina dada wa JF tupo juuu!wish u ol da bect ukipata unitonye nicmamie haruc,...ukienda kwao kujitambulisha ucnsahau kaka,...welcome in jf...the houc of big thinkers.....:A S 103:
 
yaani nashindwa nikusaidieje.lakini usikonde,kuna ndugu yangu anaitwa husninyo,ana kila kigezo ulichotaja.hana makuu,anapenda utu siyo vitu,hana ubaguzi,ni mwaminifu,anapenda kusafiri na ni mcha Mungu.je utamkubali nikuunganishie?yeye hana tatito wewe tu.mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom