Europen girl friend

huku ni kutafuta unafuu wa maisha ukidhani wana hela, komaa na waswahili wenzako wewe mfanye life
 
for what,.? ur the kind of guys who want to marry rich babes and divorce after one week to have half their wealth.,!! sorry!!
 
hela wee jamaa f"aala kweli,unataka mzungu una pesa weewe,unafikiri wao wanachimba mihela?kamata demu aliyekomaa kama wewe hapa bongo baaaba
 
yaani mtu kutaka demu wa kizungu ishakuwa soo.duh kweli watu wengine(wanaomkosoa) ni wa ajabu.
 
Nenda 1.www dot tagged dot com,halafu chagua option ya nchi
2.www dot myspace.com
3.ww dot vkontakt.ru

nadhani utafanikiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom