Mimi ni ME mwenye umri wa miaka 28. Natafuta mchumba vigezo vifuatavyo.
Mchapakazi
Umri wa kuanzia miaka 24-26
Mwenye mwili wa ukubwa wa wastani
Rangi ya kunde
Mrefu wa wastani
Elimu yoyote...
Am mohamed 24 nipo dar natafuta mchumba umri kuanzia 25-35 dini yoyote sichagui kabila elm yoyote ila awe mwenye kujishughulisha,me ni muajiriwa kwnye clinc moja hapa jijini plz km upo cirius...
Kuna tofauti gani kati ya tabia za play boy na mwanamke malaya, je anchokifanya play boy ni sahihi na sio kama uhuni anaoufanya mwanamke malaya.. COMENT
Habari zenu ndugu zangu
Mimi ni mwanaume miaka28 natafuta mwanamke WA KUISHI NAYE MAISHANI anayejitambua ambaye atakuwa rafiki yangu kwa mwaka mmoja, tukiendana ndoa itafungwa 2014. Naomba awe...
Natafuta mchumba wa kike mwenye sifa zifuatazo:
1.Awe na heshima
2. Awe mvumilivu
3. Mchapa kazi
4. Mwenye huruma
5. Awe mweupe wa wastani
6. Awe na mwili wenye ukubwa wa wastani
7. Awe na urefu...
Jana nilitoa tangazo katika safu hii. Jamani niko sirias. Leo narudia tena.
Natafuta mchumba mwenye heshima,huruma, uvumilivu, mchapakazi, mweupe wa wastani, mwenye mwilli wenye ukubwa wa wastani...
Mimi ni kijana mtanashati, mtiifu, mpole, na mwenye kujali hisia za mtu. umri wangu ni miaka 24. natafuta rafiki wa kike(girlfriend) na kama ikitokea nikaendana nae kitabia basi awe mke wangu...
Habari JF.
Mimi ni kijana na umri wa miaka 25, Mtanzania, dini Mkristo RC,elimu mwaka wa 3 degree ya IT.
Natafuta msichana anayependa maendeleo na chapa kazi.Sina ubaguzi wowote kwan wote ni wa...
Naitwa Haji Rashid,,,,nina miaka 23,,ni mweupe kidogo{maji ya kunde},,,urefu ft,5.6,,,umbo langu ni la kawaida,,natafuta msichana mrembo awe na miaka 18/23,,,anayejitambua vizuri,asiwe mapepe,awe...
Mi ni kijana nadhifu
Natafuta msichana awe maji ya kunde, miaka 24-27,mkristo, msomi angalau Diploma,mcha Mungu, mwenye kujituma,mwaninifu mtii,mpole wastani
Asiwe mlevi,mvuta sigara,
Mi ni...
habari ndugu,
mimi ni kijana wa kume ninaye tafuta binti ambaye twaweza kushabiiana na kupatana vyema kisha tujenge family
ABOUT ME:
Umri:29
kabila:mjaluo/mmasai
Kazi:mwajiriwa
Rangi:mweusi japo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.