hii ni seriouz,me kijana 23yrz,nina mapenz ya kweli kbisa kwa ataenipenda..nina elim nzuri,sina kaz bt kusaka naweza,so natafuta bint asiwe mnene, anaejiweza i mean ana kazi,ataenipenda as...
Nipo serious na ninahitaj mume ambaye atakuwa na umri wa miaka 27-31,awe na kaz yoyote halali na elim yoyote. Mi umri wangu ni miaka 27 na nimehitim chuo kikuu na ninakazi kwa sasa...
Kwa binti wa Kitanzia mwenye urembo wa asili asiyetumia mkorogo.Lakini LAZIMA AWE NA NDONYA katika sura yake!Napenda awe MGOGO au MMAKONDE!Elimu kuanzia kidato cha 4,umri kuanzia miaka 24!
Habari wanawake wa kibongo,imekua nikituma nyuzi kumsaka mrembo humu nakatishwa tamaa na wanaume kua nimepotea,ila naamini sijapotea kina dada warembo.mimi nina miaka 27 na napenda kua na mwanamke...
futa mchumba (binti)..awe muislam...mwembamba na mrefu. Awe na maadili ya kiislam, akiwa na elimu kidogo ni vyema zaidi.
Mimi nina masters na nafanya kazi wa tahasisi ya serikali
Kama interested...
Stop getting involved in relationships for the wrong reasons...relationships must be chosen wisely...its better to be alone than to be in bad company..there's no need to rush...if something is...
Mimi naitwa Hassan Said ni muajiriwa wa Mamlaka ya Bandari umri wangu ni miaka 34,urefu sm170,na Elimu ni ya chuo sijawahi kuoa na sina mtoto .Najitokeza kutafuta mchumba ambae atayekuja kuwa mke...
Naitwa Kelvin,nna miaka 26,home ni Mwanza ila kwa sasa nipo masomoni Dodoma,chuo kikuu.Natafuta msichana aliye serious na tayari kuwa mchumba wangu na hatimaye ndoa kuanzia miaka 18-24.Mimi ni...
Vigezo na Mashariti:
1. Awe christian na awe mcha mungu
2. Awe anatoka kanda ya ziwa
3. Awe atleast na diploma, bachelor, master yoyote bali isiwe ni polisi, mwanajeshi, nurse na kazi yoyote...
am looking for a girl friend who have 19-23 years, no matter what level of education she have..
aiming for charting and changing ideas.. i will be much happy a day i get that friend..
Ladies this is your ticket to fly to US, Our new DREAM LOVE international dating and marriage agency in Tanzania itaanza kuregister Tanzanian ladies who have interest or dreams to Marry or date a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.