Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni mdada wa miaka 29. Natafuta rafiki na kama mambo yakienda vema we can share the rest of our life together. Sifa zangu Dini - mkristo Mrefu wa wastan around 168cm Maji ya kunde...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
*Habari zenu wana jamiiforum wenzangu? Naitwa Sagao niko Mbeya, natafuta marafiki wa kuchat nao popote ulimwenguni, sina ubaguzi wa dini, kabila wala umri. Email yangu ni sagaonew@gmail.com na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Happy Valentines wadau.. Seriously i need a lady to give me company ths valentine.. kama uko interested, plz PM me!.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta mke ambaye yuko tayari kuolewa Sifa: 1. awe na umri kati ya 21-26 2. awe christian na mcha mungu Aliye tayari ani pm
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Inatosha
0 Reactions
9 Replies
1K Views
naitwa james nina umari wa miaka 21,ni mwanafunzi wa chuo hapa dar,,,nahitaji marafiki wa ukweli wa kusaidiana katika raha na shida....umri kuanzia miaka 26 na kuendelea
0 Reactions
5 Replies
2K Views
awe na elimu ya dini yeyote awe na umri wowote asizidi miaka 40 awe tayari kuishi popote
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadu nahitaj ushaur wenu juu ya suala langu kuhusu mpnz wng ambae niliyekua naye ukweli nlpnda xna tena xna bt akaja badilika kitabia nikajitahidi kumkanya ila akaona kama nampgie gita mbuz mara...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Jaman wandugu dunia imebadilika sana, tumeumizwa vya kutosha, mwisho wa siku nimechoka kabisaaaa, msichana aliyetayari kuolewa aniPM mengine yote tutaongea kwa faragha mimi nayeye. Nina uwezo wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wanaJF?,ni kijana wa miaka 27 mkristo na nina elim ya chuo kikuu. Nina urefu wa wastan pia c mnene wala mwembamba. Natafuta mchumba ambae atakuja kuwa mke wangu soon,.awe angalau na elim ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The subject of my obsession doesn’t have a clue She’s probably somewhere now, not knowing what I’m going through Every breath that comes in me carries her scent Every breath coming out has her...
6 Reactions
130 Replies
8K Views
Nilikuwa nasikia kuwa mapenz yanaumiza!! Sasa nimeona na nimeumia, cha kufanya ni nini? Nisipende tena au nitafute mwingine?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa na uhusino wa siri. awe na umri kuanzia miaka 20-45. mwembamba au mnene. lakini ambaye anajiheshimu na kuheshimu uamuzi wangu wa kufanya uhusiano wa siri na si...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
natafuta demu ambaye atakuwa mke hapo baadae ila kutongoza.. nifanyeje na umri unakwenda?
1 Reactions
17 Replies
8K Views
Mnaniboa sana nyie wanaume mnaojidai kutafuta wachumba kwa kuweka sifa ambazo mtadhan hao wadada nyie ndo mnawaumba,eti mara nataka mchumba awe na hips kubwa,mara mweupe,sijui masaburi...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Ninahitaji binti serious,ambaye nataka kujenga naye urafiki na hatimaye kuwa mkewangu. Km kuna binti serious kwa hili na km atakadhi sifa zifuatazo,naomba ani-PM. SIFA: Awe tayari kupima UKIMWI...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninatafuta mwenza atakayeweza kuishi nawe ila awe tayari kuvumilia kibamia changu kwa shida na raha. Awe na umri kati ya 25 to 27. Aliye serious ani inbox
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mie ni mwanaume! Nahitaji lesbian wa kunifundisha romance! I am very poor kumprepare mwanamke kabla ya tendo la ndoa! Naamini nikimpata lesbian anaweza kunisaidia practically! Bei kuanzia laki...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
kila nikiingia humu mmu nakuta post mbili au tatu ndo watu wanaoeleza mambo mengine zaidi ya natafuta. Ila zilizobaki wao wanatafuta tu. Sasa waliopata inakuwaje mbona hamleti feedback na pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi guys! I need someone to Love. Thanks....PM me please!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom