Natafuta mchumba wa kike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba wa kike

Discussion in 'Love Connect' started by CHAI CHUNGU, Mar 13, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Hey.
  Nina mke na watoto3,sasa naitaji kuongeza mke wa pili.dini yangu ni islamic,awe muislam pia aliyesoma dini japo kidogo.
  Elimu ya dunia ni japo kiwango cha kujua kusoma na kuandika.
  Umri usizidi miaka 24,awe mrembo mpaka moyoni.
  Awe swala5.
  Awe anajitegemea,awe tayari kua mke mwema,
  Mm kazi yangu ni mkulima,nipo dar,aliyetayari anitumie email(omuchana@yahoo.com)nipo serious sana.
  Nataraji kumpata aliye mwema.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Huyo wa kwanza ulimpata humu humu?
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Yes mkuu.
  Nilimpata humu humu ndani!
   
 4. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  aliekutafutia wa kwanza akutafutie wapili
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mkulima Dar?
  Unasaidiana na ujenzi kulima lami?

  Sema wazi, unatafuta mtu wa kukusaidia kulea familia yako.
   
 6. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Kweli mkuu!
  Aliyenitafutia ni JF that's why nimemrudia anitafutie mwingine.
   
 7. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Nimesema hivi,kazi yangu ni mkulima na nnaishi dar,so aijarishi ninalima wapi,anyway,ninalima mihogo kisarawe.
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nijitegemeee? kisha niwe second wife?
  nafaidi nini hapo? .
   
 9. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  ndoa mtoto!!!!!
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Bado sijaona vutio la ndoa yako, wapo wengi wanaotaka kulelewa kwa jasho langu na nikapata uhuru wa kuwa mkee pekee kwanini nije kwako nianze kupangiwa zamu.
   
 11. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Nimeku pm!
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ili iweje?
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mahbuba....funga thread.....
  usimsikilize yoyote....mie ndo ushanpata.....
  la aziz.....picha yangu ndio hiyo hapo......nimekutumia full blood picture....ili uamue hapa hapa...ka wanchukua....wallah nshakuchunuku....

  [​IMG]

   
 14. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Tuzungumze!pengine twaweza fika muhafaka.
   
 15. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Mhh!mbona hauna sifa za kike?????
  Jamani ehee,mie natafuta mke,siyo dume jenzangu ebo?
   
 16. d

  dav22 JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  he he he he he unachekesha bwana shamba....maana unatafuta mke kwa staili za kwenye muvi za kinigeria aiseee
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  khaaa...we nawe....
  mwanamke kujisitiri....
   
 18. N

  NJIWA PORI Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we unalima mihogo halafu unatafuta mke wa pili hujionei huruma
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Dushelele.
   
 20. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Dar es Salaam, shamba litokee wapi?
   
Loading...