mchumba anahitajika

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,671
40,913
anahitajika haraka sana, mimi ni mwansheria na mfanyabiashara hapa dar es salaam, pm me.
 
Iyo id tu yaonyesaha wewe ni mvulana.ungekuwa mwanaume sawa
 
Wewe ni jinsia gani? Unahitaji mchumba wa jinsia gani? Vigezo ni vipi? Jieleze vya kutosha acha ubabaishaji!
 
Maajabu ya dunia "mchumba anatakiwa haraka", ingekuwa wataka burger ungeeleweka, sio mchumba!
 
We ni me au ke, na uo uanasheria umesomea wapi hata hujui kujieleza? Weka cv yako vzr. Dini, kabila, mahali unapoishi na sifa za huyo mchumba unaemtafuta
 
nashukuru kwa comments zenu, wote mlikoment inaonekana mnayo interest..mbarikiwe sana. haya basi.. kwa kifupi anahhitajika .. wa kike, mzuri, urefu wastani, rangi yoyote ile..elimu ya chuo kuendelea..mkristo..sio mlevi..wala mtumiaji wa sigara..mchapa kazi..asiye tegemezi..anayependa dini ..nadhani nimeeleweka kidogo waungwana..
 
Uko dukani au gengeni...?hata huko pia huwa tunatumia lugha nzuri.....jipange kijana anaona bd unatabia za kitaa 2...
 
teh atakuwa mkurya tu huyu......kila saa wako 'fitani'....fita ni fita muraa.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom