college gal for kampani during likizo ya july

bg_dg_dy

JF-Expert Member
Feb 27, 2009
603
488
Kwa wale girls waliobaki hostel mabibo only, natafuta company ya kupiga stori during evening hours, dinner pamoja na kubadilishana mawazo. I'm a male btn 25-35yrs of age and I ain't a student
 
mtafute figganigga akupe mauzoefu
 
Mkuu kwanini hujioni kama ni mharibifu, ukishampa mimba huyo aunt kweli ataweza kuendelea na masomo?
 
Mie ni student memkwa, ila siko mabibo hostel ninamiliki nyumba mtaani (sio kupanga, namiliki).
Nitafaa kupiga stori? Napendelea stori za magari, mashamba na ujenzi.
 
Umeona sehemu yeyote nimegusia suala la mapenz? Wabongo kutokuwa waelewa ndo nyinyi mnaochanganya kaz/masomo na mapenzi, ningehitaji wakubanjuana nae ningesema wazi na sio kificho "no strings attached" ni story tu no sex strictly nasema "no sex" nikikutongoza unlipue hapa
 
Mie ni student memkwa, ila siko mabibo hostel ninamiliki nyumba mtaani (sio kupanga, namiliki).
Nitafaa kupiga stori? Napendelea stori za magari, mashamba na ujenzi.
A student only wa bibz
 
acha upuuzi wewe ina mana mitaani kwenu umekosa wakupiga nao story na kwanini wawe wa mabibo tuuu kama huna hidden agenda wewe ni fataki mkubwa nenda zako hawadanganyiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Naishi maeneo hayo no hidden agenda, so far nimepata friends wanne, km nawe ni demu and u r eligible unaalikwa mind you I won't bite
 
Lol! Kumbe watu wanakimbilia PM kujisalimisha! JF is wonderfull..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom