natafuta mwanamke wakunipa...

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
34,039
61,352
jamani natafuta mwanamke wakunipa mapenzi stress free...yaani sie nikupeana company bila kuudhiana na kuja hapa MMU kuja kuomba ushauri wa mahusiano yetu.

awe mweupe
mrefu sio chini ya 170cm
talkative
average boddy size
mpenda mpira ila sio mpenzi wa arsenal
funny
nawty in bed
 
170cm, ulifikiri tuko Russia hapa. Wengi wao andunje's labda ukatafute mmasai. Hebu tuwekee sifa zako.
 
Mimi nina 172cm lakini vingine vyooote sikwalifai...
 
170cm, ulifikiri tuko Russia hapa. Wengi wao andunje's labda ukatafute mmasai. Hebu tuwekee sifa zako.

male 26
178cm
maji ya kunde
average body build
talkative, funny patient, na mwenye roho ya upendo
msema kweli
 
Back
Top Bottom