For real, nahitaj kampani yako

Apr 3, 2012
79
13
Ni kijana wa kiume, nina umri wa miaka 26, elimu yangu ni ya chuo, nafanya kazi za kujitegemea, mrefu wa wastani, mweusi kwa rangi, umbo la wastani,
Nahitaji msichana mwenye umbo la kawaida, mrefu wa wastani, maji ya kunde au mweupe wa asili si wa carolite, elimu kuanzia kidato cha sita, anayejitambua. umri kuanzia 22 mpaka 28
kwa yeyote atakayekuwa interested nami tuwasiliane kwa contact hii hapa.
E-mail; vineddy3@gmail.com.
ubarikiwe:
 
E-mail; vineddy3@gmail.com. ubarikiwe:

Ina maana hata ktk mizunguko yako ya kazini hujamwona kama uliyemwelezea hapa, nakushauri umtafute mwenyewe na umfanyie tathmini kwani wa kutafuta mtandaoni sio kabisa, unaweza ukapata wa maelezo uliyotoa lakini balaa lake likawa kama aliyeenda sokoni kununua nazi akachagua nzuri kwa nje kumbe ndani koroma, take care of yourself bro..just my view u do not need to....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom