Natafuta mchumba wa kufunga naye ndoa

lukunij

Member
Jul 4, 2012
36
7
Mimi ni kijana ,nipo chuo kimoja hapa nchini natafuta mwanamke awe muislam,mwenye umri chini ya miaka 25,awe mfanyakazi wa serikali au awe mwanafunzi wa mwaka wa tatu ktk degree ya uwalimu, mrefu kidogo awe commitment na life mwenye sifa anicheki kwa 0656071876 usibeep.
 
Mtengeneze mwenyewe!!!!!
 
Maelezo yako hayajitoshelezi. sidhani kama upo serious hata kidogo. Sell your cv first, it will be easy for them to judge whether you are the perfect match.
 
Maelezo yako hayajitoshelezi. sidhani kama upo serious hata kidogo. Sell your cv first, it will be easy for them to judge whether you are the perfect match.
kama unazo hizo sifa,nitafute cv yangu haitoshi kuweka hapo so utaipata ukinitafuta
 
Hahahaha haya mapenzi ni kitu gani,unaoa degree au unaoa mke mwema,,,kila la kheri mabinti jamani akili kumkichwa.
 
Jiuze ununuliwe,sio ununuliwe kwa sifa za mwingine
 
mkuu ndoa ya kweli aichagui mfanyakazi au mama wa nyumbani unakwepa majukum eeeeeeeeh?anaweza akawa si mwalim wala mfanyakazi wa serikali ila mambo yake mazuri tu vijana kazi kwenu
 
ishh!ni kweli mahusiano ya mapenzi yanaanzia popote pale hata hapa waweza kumpata mwenza, na wengi tu wamefanikiwa kupata waume bora na wake bora kupitia jf. Tatizo ni kwamba kwa nini uweke masharti ambayo sio ya lazima kwenye kutafuta mpenzi hadi mtakapojaaliwa kufunga ndoa?
KWENYE MAPENZI HAKUNA VITU VIFUATAVYO:
1.Dini
2.kabila
3. ukoo
4. mali
5. ufukara
6. dhehebu
7. mrefu,mfupi, mnene, mwembamba,mbaya, mzuri,mchafu na nk
na ndio maana waswahili wakasema kwamba mapenzi hayana macho.JIPANGE UPYA
 
....kijana ur choreography is sooo 70's...
utakapomuona tu utajua,na usishangae sifa hizo zikawa hazipo
 
huyu si mtafutaji anawadanganya.au hajui anachokitafuta.anafikiri ndoa nijambo lakujaribu kama vile wengi wanavyojaribu mapenzi kwakua na wapenzi wapia kila siku.
 
huyu si mtafutaji anawadanganya.au hajui anachokitafuta.anafikiri ndoa nijambo lakujaribu kama vile wengi wanavyojaribu mapenzi kwakua na wapenzi wapia kila siku.
niko serious kaka, nikimpata nitawapa info
 
wana jf nikwamba sijampa mwenye sifa mpaka sasa so ngoja siku zikizidi 3 nitaangaria vigezo nipunguze ni re-advertise tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom