Natafuta mwanaume ambae ataniamini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mwanaume ambae ataniamini.

Discussion in 'Love Connect' started by Mwadi, Aug 9, 2012.

 1. M

  Mwadi Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta mwanaume,ambae ataniamini,natafuta mwanaume ambae atakuwa hana mashaka na mimi ambaye atakuwa anaamini mimi ni mwanamke mkweli kwake yeye,mawasiliano yangu haya hapa mwadisai@gmail.com nitajibu email tena kwa haraka
   
 2. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,447
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  umri wako?
  Kazi yako?
  Imani yako?
  Tuanzie hapo mamii
   
 3. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 3,992
  Likes Received: 11,662
  Trophy Points: 280
  Kuna mwanaume alishakuambia kuwa huaminiki?
  Sio mkweli?

  Nitarudi, tena maana dalili zinajionesha naweza kuwa mimi:loco:
   
 4. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Akuamini hata kama huaminiki?

  Mbona umekimbilia huko una biashara gani wewe mpk kuaminiwa kiwe kigezo?

  Mtu huaminika kwa namna anavyojichukulia. Nahisi wewe hushikiki ndio maana huaminiki
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mchagaaa nini wewe? wale hawaaminiki hata mlokole
   
 6. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  unatafuta mwanaume au mume?
   
 7. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Dini yako.
  Umri wako.
  Kazi yako.
  Short history.
  Then ntakucheki kwa email bcoz nami natafuta kimwana.
   
 8. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Katika waliowahi kunipa masharti magumu, wewe ni wa kwanza....! Hakika mimi umenikosa....! It is because what I believe is that; "In exception to trust my Lord, it is non of my business to trust anyone, but it is my responsibility to be trustful to every one....." So, kwangu mimi ni rahisi kuwa mwaminifu kwa kila mtu, lakini si kumwamini hata mmoja....! Hope umenipata mama...!
   
 9. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,868
  Likes Received: 3,138
  Trophy Points: 280
  kama unamtafuta kimwana basi huyu umemkosa si kimwana bali KIMAMA
   
 10. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,229
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  yesu anakupenda.!!
   
 11. M

  Mpilipili Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Mimi nipo tayari lakini baada ya kupata professional clearance katika yafuatayo>

  • elimu yako
  • umri
  • kazi yako
   
 12. M

  Mwadi Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nichek basi kwenye email acha story.
   
 13. M

  Mwadi Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nami nampenda yesu.
   
 14. M

  Mwadi Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushaanza kutaka kuaribu.
   
 15. M

  Mwadi Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni chek ktk email hapa naogopa matusi mwenzangu
   
 16. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,252
  Likes Received: 7,073
  Trophy Points: 280
  Mi nimeoa lakini nakupa chance ya kukufariji bureeee, usitegemee materials but tegemea faraja ya kweli - take it serious
   
 17. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,574
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hehehe Mke mwenza utaweza?
   
 18. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,447
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Mwadi nimekutumia private message hujanijibu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,584
  Likes Received: 5,805
  Trophy Points: 280
  JF inahitaji mental health professionals na ukumbi wa ushauri nasaha naona.
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,534
  Likes Received: 21,016
  Trophy Points: 280
  kwanini huaminiki?
   
Loading...