Any come to enjoy the weekend

SYENDEKE

Senior Member
Jul 18, 2011
169
26
habari wan JF kwa jinsi weekend ilivyo naona kama kuwa ndefu sana kutokana na sikukuu sasa kwa yeyote aje tujumuike kwenye wekeend kuspend it is just for the fun cozi niko mpweke this weekend halafu mapumziko marefuu kwa sisi tusio jua kuzunguka au kwa mtu ambaye anaweza nipa njia mbadala jinsi gani naweza tumia weekend nikaifurahia

-first we can plan the outfit schedule for all weekend together
-it is just for the fun in order to met different people on different location
 
Wewe toa toa mialiko sasa hivi utapata mizinga hapa, unacheza na hashuo za wabongo nini.

Hukawii kudaiwa ada ya shule.
 
Wewe toa toa mialiko sasa hivi utapata mizinga hapa, unacheza na hashuo za wabongo nini.

Hukawii kudaiwa ada ya shule.

vigezo na mashariti kuzingatiwa this is just for the fun na inakuja mara moja kwa mwaka kwahiyo people wala hata zisiogope
 
Back
Top Bottom