Natafuta mpenzi mwanamke mwenye miaka 35-50

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
94
jamani me nna miaka 24, natafuta mwanamke wa kuwa mpenzi wangu mwenye miaka kuanzia 35 mpaka 50, sifa yoyote ile, me nna mapenzi ya kweli, aliye tayari ani PM.
Matusi sitaki.
Nawasilisha.
 
Toa akili za kijinga hapa, unataka mwanamke aliyekuzidi umri namna hiyo kwa misingi gani? we maliyoo sio?
 
kavutiwa na mimama muacheni hajasema anataka kulelewa. Haya mnaotaka damu changa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom