Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:
1. awe muislam
2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani maji ya kunde rangi
3. Mwenye...
mimi ni kijana wa miaka 24 natafuta mpenzi wa kuwa nae ikiwezekana hawe mke baadae especial hawe muslim, elimu yake iwe ya kawaida, hawe na umri wa miaka 18 hadi 23 anaye jua mapenz ni nini, am...
Nimekuwa nafuatilia post nyingi sana humu kwenye haka ka sub forum ka MMU. Nimegundua kitu, post nyingi zinazotolewa na wasichana/wanawake kutafuta wapenzi/wachumba au waume zimekuwa zinapata...
Umri wangu miaka 22(male), umbo langu wastani,urefu fut 5.7, bado nasoma college, Nahitaji mpenz(female) awe mweupe au maji ya kunde,slim,not more than 5.7 fut tall,and mostly aliyechoka kutendwa...
jamani mimi natafuta rafiki wa kipiga naye habari awe msichana na asiwe na miaka zaidi ya 20 mawasiliano ni +255764936964 au EMAIL yoseanthony@yahoo.com
Hodi hodi humu ndani!!!!
Hahahaaaaa! Sijawahi post humu! Aluuuuuuuuu!
:focus: Kuna dada mmoja, ile formular ya substitution imemkuta soon, sasa yupo bored kinomaaa! Anaona dunia imesimaa! She...
Mi 22 udsm dent, am gud luking, sijui kutongza. Nahitaji msichana mzuri, awe chuo chochote dar. Dini yeyote, . Uwe unahadh ya kuwa na mimi. My number 0774553278
Mambo guys? Mmi ni mvulana aged 27 nipo Dar es Salaam,nimemaliza IFM sasa working na kampuni 1 mpya ya mikopo kwa wanawake,sijakua lucky sana ktk mahusiano ila natafuta marafiki,napenda sana...
jamani wana jamii, mimi ni kijana wa miaka 21,ni mwanafunzi wa diploma ya sheria ,nlikua na rafiki angu wa kike nlompenda kwa dhati kabisa lakini ikatokea bila sababu judy akaamua tuachane na hivi...
Natafuta mdada wa kuoa
Sifa:awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea,sio mnene sana,awe anafanya kazi au Biashara,umri kuanzia miaka 26 hadi 36
Kuhusu mimi:Elimu yangu kidato cha nne +some...
habari zenu wapenda mimi ni kijana(mwanaume) mwenye umri wa miaka 28 nina elimu ya chuo kikuu niamajeriwa nina tafuta mwenza wangu awe na sifa zifuatazo
1.mkristo
2.wa wastani(si mnene sana wa si...
Ni ungvu nyingi za kiume ambapo kwa sasa imekuwa tatizo baada kuachwa na wapenzi wanne kwa kutaka kupunguza lakini mimi siwezi mbili,tatu ni kama ndo naanza.
Awe na umbo zuri na mzuri kitandani...
Habarini wana jamvi.Nahitaji rafiki wa kiume ambaye kama mambo yataenda sawa tutaweza kuishi kama mume na mke.
My profile
Umri:35 years
Dini:Mkristo
Elimu :Masters
Serious na kwa dhati kabisa natafuta msichana aliyetayari kuingia kwenye ndoa na kuanzisha nae familia kama mume na mke baada ya kufahamiana na kuridhiana. Kama hauko serious tafadhali kaa kando...
Seriously, mimi ni mvulana mwenyd miaka kati ya 26-32. Natafuta msichana wa kuishi naye kama mke na mume. Naomba mwenye sifa zifuatazo. 1.awe angalau na elimu ya kidato cha nne. 2. Awe wa kabila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.