Mh..........interesting! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh..........interesting!

Discussion in 'Love Connect' started by M'Jr, Oct 15, 2012.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Nimekuwa nafuatilia post nyingi sana humu kwenye haka ka sub forum ka MMU. Nimegundua kitu, post nyingi zinazotolewa na wasichana/wanawake kutafuta wapenzi/wachumba au waume zimekuwa zinapata comments nyingi sana tofauti na za wanaume ambazo mara nyingine hukosa kabisa hata comment moja pamoja na kuwa ziko nyiiingi.

  Jamani eeeh wapeni moyo na wanaume basi ili wasijekata tamaa
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  M'Jr isije ikaw ana wewe ni mhanga wa kutafuta wa kuwa nae
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaaa hapana mkuu Mr Rocky, mi kazi yangu huwa ni kuwatia moyo wale wanaotafuta ili wasikate tamaa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  M'Jr sijui na mimi nitangaze nia nione kama nitapata halafu mi naweka na picha pia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaa mkuu unaweka picha yako au blu print ya yule unayemtaka?
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  Naweka picha yangu kuwa natafuta na mwenye nia aje
  Maana kuweka picha ya ninayemtafuta haisaidiii naweka ya kwangu wajue kuwa niko serious na namwaga CV yangu yote
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Usiache kutumia adobe photo shop ili uiblur iwe kama za kina kanumba kwenye makasha ya dvd.
   
 8. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaa mkuu hiyo itakuwa soooooooo innovative, hop we hawatakuchunia au sijui huwa wanaenda pm hawataki tuone hapa!
   
 9. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaa sio akiiblur itatoka kama yuko mawinguni hivi au kwenye ule ukungu wa Ngorongoro haonekani uzuri?
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  Kaunga naitengeneza mbaya kabis ana VC naipamba kwa maneno yote yanayojulikana
  Yaani kila atakayeiona atatuma maombi yake

  M'Jr mi PM nitakuwa nazianika zote nijue wangapi wametuma offer na wangapi wameuchuna
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Haya Shehe naisubiri niione mi ntakuwa mtizamaji tu kama kawaida
   
 12. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanawake watakuwa wanaPM, hawataki matangazo.
   
 13. v

  valid statement JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  inawezekana lakini.
   
 14. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Tungepata mtu aliyewahi kupost thread ya namna hiyo hapa angetusaidia kujua hili asee
   
 15. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mmmhh! ogopa tapeli eeeeh
   
 16. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaa sasa hapo nani tapeli mama, anayetangaza au anayerepond to tangazo?
   
 17. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Yule kaka wa usalama wa taifa mwenye jina gumu gumu, si alishaanika na akasort out a no of candidate (wa DOM, MZA & DSM), so nakubaliana na aliyesema hapo juu, wanawake watakuwa wanajibu kwa vitendo (PM) na si bla bla za open space.

  Mwenyewe nishajibu kwa PM kama mara 32 hivi, na zote nimetolewa nje!
   
 18. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280

  Umenipa fundisho aise
  Kwako hata kwa dawa situmi application maana cha mbavu sikiwezi
   
 19. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaa watu wanaogopa hicho kilemba wanahisi lazima utakuwa mwanaharakati tu
   
 20. Johas

  Johas Senior Member

  #20
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hao ( wasichana/wanawake) ndio wanaokimbiza Dunia..,M'jr.
   
Loading...