Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Hi Naitwa Hussein. Natafuta mchumba muislam, Mcha Mungu, umri 23-26, elimu ya chuo, mcheshi, asiye na makuu, asiwe mnene sana. Umri wangu 28, muajiriwa, graduate, mrefu kiasi, si mnene...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Naitwa Sean umri miaka 27,mvulana ninaishi Dar es salaam. Natafuta marafiki,mmi nimemeliza chuo pale IFM sasa nipo kazini. Ninaongea Kiswahili,kingereza na kifaransa kidogo sana. Pls nitumie msg...
0 Reactions
3 Replies
985 Views
Salamu wadau natumaini wote mu wazima mimi ni mtanzania naishi na kufanya kazi Moshi, Kilimanjaro, nina miaka 37 sasa, mke ninayemtaka awe mkristu mwenye kujiheshimu. E-mail yangu ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
natafuta mchumba{mwanamke) mwenye umri wa miaka 18-23,awe mwislamu,rangi yoyote,umbile lolote,,,,mimi nina miaka 25,mweuc,mwembamba,mrefu-ila bado nipo masomoni chuo kikuu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Any interested woman for this weekend out for fun, pm me now..
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo: 1. awe muislam 2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani maji ya kunde rangi 3. Mwenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
M ni mvulana na taka msichana aliye ready for a serious relationship ani pm awe wyf material an not cash oriented for mr info chc m bt awe btwn 20-25
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hi everyone, :flypig: Iam serious looking for a serious woman aged between 20-26,graduate, self employed or an employee of any entity, well experienced in relationships (especially those...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hi wana jf, Mi ni mdada mwenye umri wa miaka 24, dini yangu ni muislam,nimeajiliwa ktk taasisi ya kiserikali,muonekano wangu sio mfupi wala mrefu, mzuri kiasi na rangi yang si mweupe wala mweusi...
2 Reactions
53 Replies
9K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26,kabila Mnyamwezi,Elimu ya chuo(sayansi ya siasa) ni mfanya biashara mdogo na mmiliki wa Youth Network Development Investment iliyopo Mkuranga mkoa wa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Jina naitwa Jumanne Mfaume.Ni mwanafunzi katika Chuo kikuu cha Tumaini NATAFUTA mchumba sibagui dini wala kabila.awe na umri kati ya 18-21 awe anasoma au hasomi.kwa mawasiliano:cheer2:0715-585402...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nonoo
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hurry up Inbox mi and We make deal U must hav diploma or degreeee, then u take care my baby!!!!!! NB i don need marriage 4 oll my life I am Aging at 30
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Nahic kufikia robo ya malengo yangu nilojiwekea,ninaelim ya chuo!umri 30!nimeajiriwa shirika binafsi pia ni mjasilia mali!nilisha wahi kupata mkasa wa mapenz nikaumia sana!kwa kifupi nilimsomesha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu, mimi ni mdada age yangu 30-33 nina tafuta mume mwenye age 34-45 asiye oa, asiye na mtoto zaidi ya mmoja, sijaolewa, sina mtoto, nina elimu ya chuo, nimeajiriwa. Mume mtarajiwa awe ana...
4 Reactions
31 Replies
6K Views
nina miaka 48 mwanaume,kwa anayeamini kwamba mapenzi kati ya mume na mke ni ushirikiano na kushare si mambo ya mapenzi kuwa mtaji kama huna hela sina penzi,nishaumizwa baada ya kupata mitihani ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba nirudie kupost mada hii. Ni kweli natafuta mchumba wa kike. awe na sifa hizi: Umri: miaka 19-24 kabila:mkurya/mjaluo dini: mkiristo kazi: akiwa mwalimu itapendeza sana(mwalimu shule ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom