yako mapenzi ya kweli au ni security?

cencer09

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
3,622
1,751
nina miaka 48 mwanaume,kwa anayeamini kwamba mapenzi kati ya mume na mke ni ushirikiano na kushare si mambo ya mapenzi kuwa mtaji kama huna hela sina penzi,nishaumizwa baada ya kupata mitihani ya maisha,kama yupo namhitaji tuanze kusukuma au kuvuta.Nadhani wapo ila hajapata nafasi namsubiria miss right
 
Back
Top Bottom