Natafuta mume msomi mwenye miaka kuanzia 40.

age difference na huyo unayemtaka mbona kubwa sana dadangu?!

anyway kila la kheri!
 
dada so hujaachika unataka kutafuta mbadala.
sasa je wajuaje kama utakaye mpata atakuwa hana kasoro?
hivi unajua msemo kwamba life starts at 40? wajua unamaanish nn haswa?
 
Huyo mwanaume wa 40 atakuwa single kwel? Au divorced or widowed kibongo*2 ngumu kumezapo.
 
Kama unajitegemea kwa 100% na unataka msomi aliejijenga kimaisha, huoni kama unatatizo kichwani? Na elimu yako yote hivi ndio umeona vigezo ambavyo vitakupa furaha ya ndoa?
 
Ni mschana wa miaka 27, nimeolewa na mwenye mtoto mmoja. niko kwenye ndoa ngumu sana, niko kwenye hatua za kuachana ila ni mtu ninaependa maisha ya familia, kutulia na mapenzi ya dhati. Natafuta mwanaume mwenye miaka kuanzia 40, anayependa maisha ya familia, muaminifu, msomi, muonekano mzuri na amejijenga kimaisha.
Binafsi ni mke mzuri mno kitabia, mwenye maadili, mzuri wa muonekano, msomi na mwenye kujitegemea 100%.
serious suitors email me; ffancy2@gmail.com

Pole dada, hebu fafanua kidogo ugumu wa huo uhusiano wenu! hivi imeshindikana kabisa kumaliza hitilafu zenu!
 
Wala wasikutishe we tafuta wa 40 ndo wazuri sanaa, hata mimi akili zangu zisingekuwaga fupi ningetafuta na mimi babu langu linileleee! Chezeya surplus income!!!!! Nakuunga mkono watu wenye 40 wanahusika sanaaa kwa sababu zifuatazo

1. Walishainvest saivi wanavuna tu, hapo stress zinapungua
2.Wapo matured sanaaa na wameonja onja we saivi hawana expectations kubwa wanatafuta watu wa kuzeeka nao.
3.Hata ndugu zake hawatokusumbua manake unakuwa kama mwokozi wao coz walishakata tamaa kama jamaa ataoa
4.Utuuzima dawa, anakuchukulia kama mwanae hata ukiwa unaleta ushindani wapewa ushindi wa mezani.
5.Wako financialy stable so your future is guaranteed.

Mimi kati ya ndugu na friends wangu wotee the best couple ninayoikubali ni ya Guy 42, girl 25. wako poa sanaaaa!

Hayo ya kusema Widowed, Divorced, Senior bachelor hizo STATUS TUUU HAZIDETERMINE MOYO WA MTU WALA TABIA!!!!
 
sio uke wenza awe divorced au widowed, senior bachelor with kids...sawa 2

Naona umeshafanya maamuzi ya kuachana na mumeo, what if you find the one you look for with same problems? Utafanyaje?
Njia nzuri ya kupata msaada ni ushauri wa ana kwa ana, si maandishi.
 
Naona una hamu kubwa ya kuachana na huyu mumeo..! Sasa fanya haraka uachane nae kwanza ndio uje humu jamvini utafute huyo wa miaka 40..! Chonde chone.. Usije ruka majivu ukaenda kukanyaga moto..! Kila la heri..!
 
Wala wasikutishe we tafuta wa 40 ndo wazuri sanaa, hata mimi akili zangu zisingekuwaga fupi ningetafuta na mimi babu langu linileleee! Chezeya surplus income!!!!! Nakuunga mkono watu wenye 40 wanahusika sanaaa kwa sababu zifuatazo

1. Walishainvest saivi wanavuna tu, hapo stress zinapungua
2.Wapo matured sanaaa na wameonja onja we saivi hawana expectations kubwa wanatafuta watu wa kuzeeka nao.
3.Hata ndugu zake hawatokusumbua manake unakuwa kama mwokozi wao coz walishakata tamaa kama jamaa ataoa
4.Utuuzima dawa, anakuchukulia kama mwanae hata ukiwa unaleta ushindani wapewa ushindi wa mezani.
5.Wako financialy stable so your future is guaranteed.

Mimi kati ya ndugu na friends wangu wotee the best couple ninayoikubali ni ya Guy 42, girl 25. wako poa sanaaaa!

Hayo ya kusema Widowed, Divorced, Senior bachelor hizo STATUS TUUU HAZIDETERMINE MOYO WA MTU WALA TABIA!!!!

shosti hapo kwa 25 to 42 si ndo kwa kuanza kutoka nje ya ndoa au kuwa widow ungal mbichi to me big no!
 
lara 1, sio mara zote umri unaweza determine maturity and financial stability ingekuwa hivyo tusingekuwa na watu wezi wa umri huo ama matapeli.

mfano umeusoma uzi juu ya hyu mtoto wa lucy nkya aliyewa uongozi huko UVCCM.? je wataka kusema umri wake umemsaidia?

maisha ya ndoa is more than ela ama umri, ni ule utu wa ndani ambao mtu anao juu ya mwenzi wake.na hapa namaanisha upendo uliobebwa ndani ya hisia za mapenzi za kweli na si hisia za mapenzi za ngono pekee. na hizi yyte anaweza kuwa nazo irrespective of age
 
Last edited by a moderator:

Uzi ule wa kimajungu majungu ya jf, mtu hana hata facts assumptions nyingiii. Mie pia UVCCM na huyo bwana namfahamu fika.

Tukirudi kwa mada, ticha huo upeondo wewe uliubahatisha tu, ila haupo. Ndoa saivi ni kusettle ama kuzidiana akili tu, ukisubiria upendo huo, utangoja sanaaa. Mapenzi ya kweli hamanaaaaa! Ukiona mtu yupo na mtu mjini hapa basi kuna kitu lazimaaa. Mimi kati ya watu wote wanaoolewa rika langu, sijaona true love hata ya kuvuta na manati. Mostly unakuta msichana kajinasisha anangangania aolewe, bwana anakubali shingo upande. Au kaka kamuona dada anajiweza basi ndo anajiweka jumla jumla.

Huyu bi dada mkomavu kaona yoteeee! Ndo maana ataka kusettle na mtu so as life to go on, watajifunza kupendana humo humo ndoani.
 
Hahahaaaaa! Vijana watakuzeesha hawa, we waendekeze tuuuu!
no ishu si kuzeeshwa nikuwa realistic, ukiwapa rate ya 10 years constant wote wawil, aftrer 10yrs bint atakuwa 35 while mume 52 sasa kwa age hii kuna kwenda sawa kweli? Wacha 2 nizeeke na vijana wenzangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom