natafuta mpenzi mwenye umri kati ya miaka 18-30

JONATHAN KAMWAVAH'S

Senior Member
Oct 9, 2012
184
24
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26,kabila Mnyamwezi,Elimu ya chuo(sayansi ya siasa) ni mfanya biashara mdogo na mmiliki wa Youth Network Development Investment iliyopo Mkuranga mkoa wa Pwani,ni mrefu kiasi,si mweusi wala mweupe sana,ni mcheshi,mwongeaji mzuri tu!na ukitaka kunitazama vizuri ingia facebook cheki Jonathan kamwavahs unisoma.
Natafuta mwanamke mwenye kujiamini,mkweli,mwenye kunithamini,na awehuru na muwazi kwangu.
Muonekano na sifa muhimu.
Awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
Asiwe mweusi sana na akiwa mweupe inapendeza zaidi.
Asiwe mfupi sana.
Awe na shepu ya kuvutia,sura nzuri,asiwe mnene sana wala mwembamba sana.
mwenye maziwa mazuri yaliyo simama yawe makubwa au madogo.
mwenye uwezo wa kuishi na watoto wangu wawili,wakiume mmoja na wakike mmoja nilio wazaa kwa mwanamke mmoja.
Asiwe na mtoto hata mmoja.
mwenye uwezo wa kupenda ndugu zangu haswa mama yangu mzazi.
Kwa mwanamke muhitaji na makini mwenye sifa karibu,namba zangu za simu ni 0719 450426.
 
Mhhh huo ni ubaguzi dhahiri we una watoto kisha mwenzako hutaki hata awe na mmoja??
Kitu nilichokupendea umeonyesha userious mungu atakusaidia utampata wa kuwalea watoto wako
 
hapana mm si mbaguzi mila na destuli za kabila langu inakataa,mila zinasema mtoto ni mali ya baba na hatakama nitazaa na wana wake kumi watoto wote wanahaki sawa ni niwarithi wangu nami nimrithi wao,mwanamke hana mtoto na akisema anae si wake ni wamwanaume aliye zaanae,hatakatika vitabu vitakatifu mwanamke gani aliolewa akiwa na mtoto wa nnje,ila wanaume ni wengi tena karibia wote,nataka asiyekuwa na mtoto anizalie watoto wenye kuweza kurithi kwangu yaani wenye uhalali kwangu.
 
haya kaka wamekusikia wenye ndoto za kuzaa kwa mafungu watakutafuta
 
Hapana siyo hivyo na si busara kusema hivyo,hizi ni zama za ukweli na uwazi nilichoandika niukweli wangu,sipendi kuongopa wala kuitwa muongo,na simuhitaji aje kunizalia bali kushea ma love,watoto ni zawadi kutoka kwa mungu na zawadi si ahadi eti lazima upewe.
 
hapana mm si mbaguzi mila na destuli za kabila langu inakataa,mila zinasema mtoto ni mali ya baba na hatakama nitazaa na wana wake kumi watoto wote wanahaki sawa ni niwarithi wangu nami nimrithi wao,mwanamke hana mtoto na akisema anae si wake ni wamwanaume aliye zaanae,hatakatika vitabu vitakatifu mwanamke gani aliolewa akiwa na mtoto wa nnje,ila wanaume ni wengi tena karibia wote,nataka asiyekuwa na mtoto anizalie watoto wenye kuweza kurithi kwangu yaani wenye uhalali kwangu.

Hapo kazi ipo....Tayari unaonekana umeathiriwa na mfumo dume...Na huyo mpenzi unataka awe mke au wa kuzaa nae upate watoto???
 
Wanawake wa ki Tanzania nadhani mmezoea na mnapenda kuongopewa mtu mkweli kwenu sumu haya powj,lakini natafuta mke na si mtu wa kuzaa nae,karne hii si yaku zaa ovyo.
 
Jamani nawashukuru wote mlio changia mada hii,tena kwa moyo safi nasema asanteni sana.
Nashukuru timu nzima ya JF kwa sapoti yenu.
NAPENDA KUSEMA KUWA NIMEPATA MWENZA WA MAISHA.asanteni.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26,kabila Mnyamwezi,Elimu ya chuo(sayansi ya siasa) ni mfanya biashara mdogo na mmiliki wa Youth Network Development Investment iliyopo Mkuranga mkoa wa Pwani,ni mrefu kiasi,si mweusi wala mweupe sana,ni mcheshi,mwongeaji mzuri tu!na ukitaka kunitazama vizuri ingia facebook cheki Jonathan kamwavahs unisoma.
Natafuta mwanamke mwenye kujiamini,mkweli,mwenye kunithamini,na awehuru na muwazi kwangu.
Muonekano na sifa muhimu.
Awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
Asiwe mweusi sana na akiwa mweupe inapendeza zaidi.
Asiwe mfupi sana.
Awe na shepu ya kuvutia,sura nzuri,asiwe mnene sana wala mwembamba sana.
mwenye maziwa mazuri yaliyo simama yawe makubwa au madogo.
mwenye uwezo wa kuishi na watoto wangu wawili,wakiume mmoja na wakike mmoja nilio wazaa kwa mwanamke mmoja.
Asiwe na mtoto hata mmoja.
mwenye uwezo wa kupenda ndugu zangu haswa mama yangu mzazi.
Kwa mwanamke muhitaji na makini mwenye sifa karibu,namba zangu za simu ni 0719 450426.

Haya mzee, all the best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom