Kunauwezekano wa kupata mchumba wa kweli kwa njia hii?mie nahitaji

jingle

Member
Oct 19, 2012
27
2
Nahic kufikia robo ya malengo yangu nilojiwekea,ninaelim ya chuo!umri 30!nimeajiriwa shirika binafsi pia ni mjasilia mali!nilisha wahi kupata mkasa wa mapenz nikaumia sana!kwa kifupi nilimsomesha mchumba wangu kwa ngaz ya ctfct!akaolewa na m2 mwingine pind nikiwa masomon!so!wht i need now!nimpate japo mwenye uwaledi!mkweli,anae hic kuwa anasifa za kuwa mke!bila ya kujali elim.mkarim,mpole na pia awe na huruma.muhim:awe ni mwenye kujithamini na kutambua umuhim wa uwepo wake hapa dunian.umri kuanzia 2o-22.
 
Pole sana kwa kukimbiwa na mtu uliyemthamini maishani na akaamua kukulipa ubaya.
 
Pole sana, endelea na malengo mengine huku hilo la mke ukilifanyia kazi taratibu. Usanii ni mwingi sana katika mambo hayo siku hizi.
 
Nahic kufikia robo ya malengo yangu nilojiwekea,ninaelim ya chuo!umri 30!nimeajiriwa shirika binafsi pia ni mjasilia mali!nilisha wahi kupata mkasa wa mapenz nikaumia sana!kwa kifupi nilimsomesha mchumba wangu kwa ngaz ya ctfct!akaolewa na m2 mwingine pind nikiwa masomon!so!wht i need now!nimpate japo mwenye uwaledi!mkweli,anae hic kuwa anasifa za kuwa mke!bila ya kujali elim.mkarim,mpole na pia awe na huruma.muhim:awe ni mwenye kujithamini na kutambua umuhim wa uwepo wake hapa dunian.umri kuanzia 2o-22.

Pole mkuu,kwahyo na huyo utamsomesha?
 
Pole sana ila una uhakika majeraha ya moyo yashapona?usije ukamuumiza utakayempata kwani wengi waloumizwa ni vigumu kupenda na kumwamini mtu kwa dhati tena.
 
nakutafutia fomula hadi nikugide
King'asti nigawie ndumu kidogo, kuna kitu nawinda hapa.
 
Last edited by a moderator:
unayemtafute naye utamsomesha?nimekumbuka mbona hapo ofisini kwenu yule demu hana mtu, si uanze naye huyo?
 
Nahic kufikia robo ya malengo yangu nilojiwekea,ninaelim ya chuo!umri 30!nimeajiriwa shirika binafsi pia ni mjasilia mali!nilisha wahi kupata mkasa wa mapenz nikaumia sana!kwa kifupi nilimsomesha mchumba wangu kwa ngaz ya ctfct!akaolewa na m2 mwingine pind nikiwa masomon!so!wht i need now!nimpate japo mwenye uwaledi!mkweli,anae hic kuwa anasifa za kuwa mke!bila ya kujali elim.mkarim,mpole na pia awe na huruma.muhim:awe ni mwenye kujithamini na kutambua umuhim wa uwepo wake hapa dunian.umri kuanzia 2o-22.

nina miaka zaidi ya 22 ila haifiki 26 je utanifikiria plz?
Kumbuka age is a number unaweza ukanikataa mimi ukafall kwa mbibi wa 63 yrs
ni ombi
 
Naamini inawezekana kabisa, ila umakini unahitajika. Ningekuwa nina vigezo ningekuPM, ila usikate tamaa siku moja mungu atakupa wa kufanan na wewe. All the best
 
Cv yako inakubeba mkuu,i hope utapata huyo fiancee muda si mrefu
watu wanaitaji ada humu eti lol!
 
Mkuu COURTESY wa mwanzo alimliza machozi, sasa wa mtandaoni sijui watamliza atokwe na nini machoni!
Achana na mtandaoni kwani uwezekano mkubwa sana wa kuingia choo cha kike!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom