na mimi nimeamua kutafuta mke wa mtu ambaye mumewe hana muda naye
purpose ni kuongea naye na kushauriana mambo kadhaa
recently nimegundua married women are very smart and idealistic (my wife...
Mimi ni kijana wa kitanzania umri miaka 27 nimemaliza chuo mwaka jana 2011,natafuta msichana ambae yupo tayari kuolewa hila kuoa mungu akipenda mwakani ndo maana nna anza kutafuta muda huu huwezi...
Mimi ni kijana wa kiume umri Napata 23 nimemaliza chuo kikuumwaka huu makazi yangu ni dare s salaam,nilkuwa na mpenzi wangu ila kutokana na kutokuwa mwaminifukwangu nimeachana nae nimejaribu...
There two kinds of people in this forum when it comes to the matter that someone is looking for someone.
The two kinds are those who are serious and those who are not.
The number of those who...
nimechoka kuishi mpweke na kazi zangu za kukaa kwemye computer nakosa muda wa kutafuta mchumba ambaye atakuwa mke wangu,nimeamua kujaribu bahati yangu apa kama naweza pata mchumba awe binti,umri...
Mariage is a pinacle of all dating and relationships..so natafuta mdada mswetee mzuri wa kudate size ya kati ila awe na akili sana if m bn specfic awe mini genius ,awe master of manipulation,awe...
Natafuta mdada mwenye msimamo na kujua nini maisha, naoa kabisa, Elimu yangu darasa la pili nilifukuzwa shule baada ya kumtongoza mwalimu, nikaanza kubeba zege mpaka nikapata mtaji na sasa...
Serious nahtaj mwanamke aliye serious; tukikubaliana basi tuingie kwenye hatua nyingine.
Am 32 years, nna elimu ya chuo kikuu na ni mwajiriwa.
Nahtaj mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 22-30...
sifa zake
umri wowote
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
ndoa tutafunga ndani ya wiki moja
awe HIV NEGATIVE NAOGOPA UKIMWI KULIKO CHOCHOTE
dini yoyote
sifa...
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,naishi dar-es-salaam.umefika muda muafaka wa mimi kuwa na mtu wa kutengeneza naye future yetu,lakini awe na sifa zifuatazo
awe na umri kati ya miaka 18-20...
Mimi ni msichana nina miaka 26 natafuta mchumba ili tuje tuoane. Mimi ni mkristo . Awe na miaka kuanzia 27 na kuendelea. Kwa aliyetayari contact email to mligolucy@ymail.com
poleni na shughuli za kila siku,jaman mpenzi wangu alipotea kimawasiliano karibu miezi miwil,hapigi wala kupokea cm au kujibu sms,karud juz anadai ye ni mzito kutumia simu!!! Kwakweli nashndwa...
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:
1. awe muislam
2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani maji ya kunde rangi
3. Mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.