Natafuta Mchumba Muislam

smartman

Member
Oct 8, 2012
16
2
Hi Naitwa Hussein.
Natafuta mchumba muislam, Mcha Mungu, umri 23-26, elimu ya chuo, mcheshi, asiye na makuu, asiwe mnene sana. Umri wangu 28, muajiriwa, graduate, mrefu kiasi, si mnene. Aliyetayari tuwasiliane kwa e mail maulidh@ymail.com na niko serious katika hili wala sihitaji msichana kwa ajili ya kumchezea.
 
Mbona haina shobo hiyo. Ungesema unatakaa mchumba Mhindi au Muarabu ingekuwa shida sana ingawa wanajiita ni watanzania wenzetu.
 
Graduate ndio Elimu gani hiyo? au hujui kwamba hata darasa la saba naye ni Graduate?

Declare kabisa kwamba wewe si mfuasi wa UAMSHO.
 
hakika MWENYEZIMUNGU hakukosea, kamwe hamuwezi kuyaficha yaliyo ktk mioyo yenu.
Mtu anatafuta mchumba, mambo ya uamsho, kujilipua, hija yanatoka wapi?
Kama sio mnawashwa na chuki zenu?

Kama huna cha kuchangia si bora unyamaze?
Mijitu mingine hovyo kabisa, mnajidhihirisha wenyewe kila kukicha.
 
hajakosea,hizo ni moja ya sifa zinazo wapambanua ninyi!
 
hakika MWENYEZIMUNGU hakukosea, kamwe hamuwezi kuyaficha yaliyo ktk mioyo yenu.
Mtu anatafuta mchumba, mambo ya uamsho, kujilipua, hija yanatoka wapi?
Kama sio mnawashwa na chuki zenu?

Kama huna cha kuchangia si bora unyamaze?
Mijitu mingine hovyo kabisa, mnajidhihirisha wenyewe kila kukicha.

Huo ni ushahidi virusi vya udini bado vinawatafuna watanzania.Kila kitu lazima wataje mabo ya udini.Huko ni kubomoa umoja wa watanzania na tunakoelekea hatakuoana dini tofauti itakuwa kazi.
 
Umenena vyema mkuu, ubarikiwe.
 
hakika MWENYEZIMUNGU hakukosea, kamwe hamuwezi kuyaficha yaliyo ktk mioyo yenu.
Mtu anatafuta mchumba, mambo ya uamsho, kujilipua, hija yanatoka wapi?
Kama sio mnawashwa na chuki zenu?

Kama huna cha kuchangia si bora unyamaze?
Mijitu mingine hovyo kabisa, mnajidhihirisha wenyewe kila kukicha.

Bora hata umeongea mkuu, maana yaani kuna watu ni mafukara wa fikra kweli humu
 
hakika MWENYEZIMUNGU hakukosea, kamwe hamuwezi kuyaficha yaliyo ktk mioyo yenu.
Mtu anatafuta mchumba, mambo ya uamsho, kujilipua, hija yanatoka wapi?
Kama sio mnawashwa na chuki zenu?

Kama huna cha kuchangia si bora unyamaze?
Mijitu mingine hovyo kabisa, mnajidhihirisha wenyewe kila kukicha.

Umesema kweli ndugu..kuna watu wanatafuta misifa ya kijinga humu...
 
Smartman unangoja usomeshewe wewe ubebe tu. Ndoa mwanangu si visomo sema unataka mtu mwenye kupiga mzigo ili akulee. Huyo graduate unayemtaka unajali elimu na dini bila tabia siyo? Nenda chuo kikuu cha Manzese utawapata wengi tena wamevaa niqab lakini jiko la mchina kwa kuachia. Wapo wengi tena wengi toka Ugweno na ni weupe. Ila yatakapokufika usinilaumu mwanangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom