natafuta msichana aliye serious

ngulangwa

Member
Sep 18, 2012
18
1
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:

1. awe muislam
2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani maji ya kunde rangi
3. Mwenye degree,diploma au form six
4. Mwenye kujiheshimu na aliyetulia

kuhusu mimi:
1. Niko Dar hivo ajue ndipo maskani
2.mimi mrefu mwembamba maji ya kunde.
3. aliyetayari ANICHEKI kwenye email sngulangwa@yahoo.com au 0682008819
 
Ungeanzia kimboka au sewa humu mtazinguana sana men.
 
utapata tu ndg yangu ukikosa hapa jamvini jaribu kutembelea mitaa ya manzese-uwanja wa fisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom