poleni na shughuli za kila siku,jaman mpenzi wangu alipotea kimawasiliano karibu miezi miwil,hapigi wala kupokea cm au kujibu sms,karud juz anadai ye ni mzito kutumia simu!!! Kwakweli nashndwa kumuelewa!
miyeyusho huyo,kula kona kaka kashaona we dhaifu hata akikudanganya huruki,miezi 2 no mawasiliano?!,kwa wapendanao kiukweli hichi ni kichekesho na haiingiii akilini
poleni na shughuli za kila siku,jaman mpenzi wangu alipotea kimawasiliano karibu miezi miwil,hapigi wala kupokea cm au kujibu sms,karud juz anadai ye ni mzito kutumia simu!!! Kwakweli nashndwa kumuelewa!
ila mi napenda tuonane 4 abt 3 hrs kila siku tuongee ila mambo ya kuchat kwenye simu siwezi
alaf sipendi kupiga simu kulik kitu chochote, i prefer skype ili tuonane
mvumilie tu, mi nina mke sasa na ameshanizoea tunaongea kwenye skype tukiwa ofisin mambo ya IM siyawez
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.