Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
mm ni mwanamke, nina miaka 35, nimeajiriwa, sifa awe na miaka 36-45, anayeishi Tanga, muislamu anayeijua dini, awe na mapenzi ya kweli aliyetayari tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
997 Views
ningependa kupata mwanamke aliye tayari kuishi na mimi kama mke , ambaye anaweza kumiliki miradi hata kama sipo kwa uaminifu mkubwa . kwa kuwa na mimi ni baba wa watoto 2 wakubwa , ningependa...
4 Reactions
60 Replies
6K Views
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 23; -Maji ya kunde -Urefu sm 159 -Uzito kg 59 -Si mnene si mwembamba -Msukuma wa shinyanga Hapo juu ni baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume nipo dar naimani jm wapo wastarabu ombi langu litapokelewa kwa upendo hakuna kugezo ajue mapenzi ani Pm
0 Reactions
8 Replies
3K Views
1.awe white au maji ya kunde. 2.awe ana akili timamu. 3.awe ana umri 18-21. 4.elimu yeyote isipokuwa degree or masters au Phd My contact. Mwallongog@gmail.com. Sitani it is true
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mim mwanaume wa kitanzania umri 25yrs nimeajirwa serekalin mkristu. MY FEATURES: whitecolour,long nose,shapen eyes,middle height and 72kg Weight nahtaji msichana baadae aje kuwa mke wangu.Sina...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Natafuta muoaji nipo serious
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Kwa wale masigle boy, Napenda kutoa ofa ya dina kwa mkaka siku ya wapendanao mahali ni BAHARI BEACH HOTEL.. Sifa: Miaka 27-35 Kupendeza muhimu.
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Wadau bado natafuta mke kupitia jukwaa hili, Mimi nipo mwanza na nafanya kazi. Nahitaji na yeye awe anafanya kazi, akiwa mwalimu ni nzuri zaidi, awe mpenda maendeleo, mtaratibu na mwenye mvuto...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wasalaam, kwa yule mwenye uhitaji wa wa patner.. vigezo.. Umri kati ya 32-40 dini mkristo kiwango cha elimu kuanzia certificate. sibagui rangi wala kabila.. NB...awe katika hali...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
mwenye kujua yuko mbeya lakini ni binti. awe mrembo co wale wakuwafunika uso. Aje Prvt nimpe kazi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni kijana aliyemaliza chuo kikuu , nina kazi nzuri , natafuta girlfriend awe mweupe na uzito zaidi ya kg 60 , mnakaribishwa wote
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Natafuta mchumba umri kuanzia 18 -30
0 Reactions
3 Replies
717 Views
Jaman wana jf natafuta mke wa kuoa umri usiozidi miaka 25 sifa kuu awe anajua nn maana ya mwanaume.
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Wadau, Nimeona nami nijitokeze kutafuta mke katika jukwaa hili. mimi nafanya kazi na nina elimu ya chuo kikuu. nahitaji mke mwema, awe mkristo, mtaratibu na mwenye mawazo ya maendeleo, awe...
0 Reactions
4 Replies
909 Views
Mimi naitwa stephiano junior kutoka mshomoroni,mombasa. Na niko na 21 years na natafuta mrembo (girlfriend) namba yangu ya simu ni 0726366034
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni kijana nina mtafuta mwanamke miaka 25-65 mwenye kujua thamani ya mapenzi kigezi cha miaka ni muhumu hata kama anawatoto ni vzuri kwani hata mm ninafamilia
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Natafuta girlfriend wa kweli..(0726366034
0 Reactions
3 Replies
677 Views
Wana MMU jukwaa la Love connect nawasalimu wote kwa mpigo. Hii ni kwa niaba ya rafiki yangu wa karibu. Ana miaka 45 na watoto wawili, very independent woman, yuko safi, kazi nzuri maisha sio ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom