Natafuta mwanamke mpweke

Natafuta mwanamke mpweke

Great M

Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
46
Reaction score
23
Nina miaka 37...Hawe ni mwanamke anayejitambua na anajua maana ya maisha anayejali na kutambua umuhimu wa mwenzake katika maisha.

Nina jiheshimu na ningependa Kupata mwanamke wa haina hiyo. Baada ya ndoa yangu kuwa na mgogoro nina miaka8 sijatembea na mwanamke yeyote yule.... si kwasababu sina hamu au siwaoni.

Bali ni uamuzi tu.

Mwenye anadhani tunaweza kuendana naomba ani PM.

ANGALIZO:

Mimi ni mtanzania wa kawaida kabisa Mlo mmoja kwa siku.

Sinywi Pombe, sivuti, wala kutumia kilevi cha haina yoyote.

Hivyo asijitokeze mwanamke anayetaka Majumba na Magari(mimi sina).

Ila napambana ofcourse kupata maisha mazuri ingawa siku yangu haijafika bado.
 
ndoa yako ya mwanzo ilipata matatizo ukiwa na miaka 29 ,ukaa miaka 8 bila ku do na sasa una miaka 37. hiyo ndio yako ya mwanzo ulidumu nayo kwa muda gani?
 
miaka 4 na nina watoto2..? (Suala la kudo au kuto do..sijui hata kwanini nimeliweka hapo(Maana watanzania kwa ngono hawajambo.. huwa niwagumu kuamini ku-abstain"
ndoa yako ya mwanzo ilipata matatizo ukiwa na miaka 29 ,ukaa miaka 8 bila ku do na sasa una miaka 37. hiyo ndio yako ya mwanzo ulidumu nayo kwa muda gani?
 
aaah!!!Madame B hiyo ndio itakuwa demand yangu ya mwanzo toka kwa atakayejitokeza(Maana mbali na kukaa mbali na zinaa kwa miaka8 nimekuwa na tabia ya kupima VVU kila baada ya miezi sita..Na hivi juzi tu ndio nimetoka kupima..( Haka ni katabia ambako nilikajenga tangu nikiwa na mahusiano..hivyo hujikuta naenda kupima hata kama huwa na 100% ya kuwa FIT
Nipo hapa.
Ila tukapime kwanza.
 
Aaaah! Ndoa ni Ndoa mama..! Ila baadhi ya kina mama mko complicated sana! Ya Dini Ilikuwa( Na sijui kama ndio bado iko..kwa kadri ya kanuni za dini..Lakini kwangu naona haipo)! Sijui nimekujibu?!
Ilikuwa "ndoa" ya dini, serikali.. mkataba..sogea tukae?
 
Si wajomba tu.. Hata ungekuwa ukoo Mzima kama uwezo hupo mimi nadhani ni miongoni mwa watu waliokosa vyote lakini wakajiliwa upendo..Lakini kwasasa hivi uwezo huo sina ingawa kama nilivyosema kwenye post" Nipo napambana na nikipata mpambanaji mwenzangu asiye kata TAMAA..ASIYETAKA LAZIMA TUFANIKIWE LEO LEO..! Nadhani tutafika mbali..... Ila mwenye ku-DEMAND" Mafanikio ya papo kwa papo simtaki( Hatanirejesha nilikotoka).... Nina hofu ya Mungu na Nina Amini kwa njia za kawaida ukijituma ipasavyo utafanikiwa na kuwa na maisha mazuri.. Lakini shinikizo la kutumia njia za mkato ndizo zilizovuruga NDOA yangu ya awali..!
Kuna dada yangu anawatoto wanne na yuko tayari. Lakini utawasomesha wajomba zangu????
 
Pengine yeye ndiye atakaye kuja na baraka za kuongeza kipato tukala milo minne kwa siku....! Yaani aina ya wnawake kama hawa ndio wana waharibia wenzao wanao tafuta haki SAWA.. kwanini tusitafute tukapata tukala tunachotaka..Ila Mwana Ume atafute ule???!!
Kwa dunia ya sasa sidhani kama kuna mwanamke yupo teyari kuolewa na mwanaume mwenye uwezo wa kula mlo mmoja tu kwa siku..nakushauri uendelee kuabstain tu mkuu..
 
Pengine yeye ndiye atakaye kuja na baraka za kuongeza kipato tukala milo minne kwa siku....! Yaani aina ya wnawake kama hawa ndio wana waharibia wenzao wanao tafuta haki SAWA.. kwanini tusitafute tukapata tukala tunachotaka..Ila Mwana Ume atafute ule???!!

Hakuna kitu kama icho mkuu ata vitabu vya dini vinasema mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu...mwanaume ndo kila kitu hayo mengine vikorombwezo tu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom