Natafuta mume inshaahal wenye vigezo karibuni

kasweety

Member
Apr 3, 2012
7
2
Natafuta mume WA kunioa tuishi milele inshaala awe muislam,,,umri uwe kuanzia 35 NA kuendelea sitojali kama unamke,,,,maisha yawe at list uwe unayamudu,,,,,awe anaishi far au sehemu yoyote sijali kabila, niko tayari kuolewa mda wowote tukiridhiana,,,,,,vigezo NA masharti kuzingatiwa.
0719419206
 
Natafuta mume WA kunioa tuishi milele inshaala awe muislam,,,umri uwe kuanzia 35 NA kuendelea sitojali kama unamke,,,,maisha yawe at list uwe unayamudu,,,,,awe anaishi far au sehemu yoyote sijali kabila, niko tayari kuolewa mda wowote tukiridhiana,,,,,,vigezo NA masharti kuzingatiwa,,,0719419206

nakuombea umpate wa ubani,inshallah mola atakujalia cuz wengi wameungana pia kupitia jukwaa hili hili,MUNGU ni mwema kila wakati na hubariki kila lililojema,kwasababu hili lako ni jema naamin atalibariki pia.
 
Natafuta mume WA kunioa tuishi milele inshaala awe muislam,,,umri uwe kuanzia 35 NA kuendelea sitojali kama unamke,,,,maisha yawe at list uwe unayamudu,,,,,awe anaishi far au sehemu yoyote sijali kabila, niko tayari kuolewa mda wowote tukiridhiana,,,,,,vigezo NA masharti kuzingatiwa,,,0719419206

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ama hakika kasweety umepata hitaji la moyo wako.

Hebu nieleze deeply ili niweze kukuelewa mwenzangu kwa maana nilikuwa natafuta mwandani wangu ila sikufanikiwa kumpata.
 
Last edited by a moderator:

Asalaam 3aleykum W W... pokea Dua'a hii usome within no time unanyakuwa nakubeba Mume chaguo lako... Soma hii " BiismiLaah Wal HamduLiLLAh AssTaghafiruLLah " kariri mara nyingi popote pale ....MwenyeEezi Mungu atakukubalia na kukuBarikia. Amin
 
Kwa mara ya kwanza leo ndio nakutana na post ya muolewa aliye serious.Inshaallah allah atakupa mume bora ktk maisha yako,ntazidi kukuombea pia.
 
saudari kama unahitaji kujua zaidi PM will tell you kila kitu

Mbona hivyo tena kasweety au tayari umeshaanza kuogopa macho ya watu?

Kamwe usiogope macho ya watu maana hawana chakufanya zaidi ya kutizama jinsi mambo yanavyokwenda.

PM haina maana kama wawili tutakuwa tumeridhiana kwa vigezo.

Hebu nieleze mwenzangu unafanya kazi gani, mie mwenzako nimejiairi nina stationery na pia nina dalala dala moja.
 
Ha ha haaa haya bhana.
 
Nafanya kazi mlimani city mall kwenye moja ya supermarket

Ooooh!!! Kumbe tunafanana fanana.

Sijui mwenzangu una umri gani, mie mwenzako ndo nakimbilia 30.

Sina mtoto hata wakusingiziwa. I wait to here from you my kasweety.
 
Last edited by a moderator:
Ooooh!!! Kumbe tunafanana fanana.

Sijui mwenzangu una umri gani, mie mwenzako ndo nakimbilia 30.

Sina mtoto hata wakusingiziwa. I wait to here from you my kasweety.
Wacha kumdanganya mwenzio,
Unapenda miteremko eeee??
 
Last edited by a moderator:
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ama hakika kasweety umepata hitaji la moyo wako.

Hebu nieleze deeply ili niweze kukuelewa mwenzangu kwa maana nilikuwa natafuta mwandani wangu ila sikufanikiwa kumpata.

No one in this JF has Swagger like you! Kwa hili akikutosa atakuwa na matatizo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom