EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,119
Natafuta mchumba na baadae awe mke, sifa zifuatazo;
1. Awe mrembo (Habari za uzuri tabia, mara kwenye macho ya blah blah sitaki)
2. Asiwe mpiga mizinga (Mara hela ya kusuka, mara ya vocha mara mama mgonjwa) hayo yote ni matatizo yako binafsi
3. Itakapofikia kuoana nisidaiwe mahali (sitaki kununua mtu mimi nataka tuwe na signed MOU)
4. Vitu vyote nilivyonavyo ni vyakwangu na vyake vyake. Tunaanza kutafuta vyetu pamoja kwa kuchangia 50% kwa kila kitu ili tukiachana kila mtu anabeba vyake hatuhangaiki kwenda kortini.
5. Awe tayari kuzaa watoto 2 tu ili tukiachana tunagawana kila mtu anasepa na wake.
6. Anayeomba msaada kwa mwenzie wa kifedha huo ni mkopo na unarudishwa na riba juu yake.
Una sifa tajwa?
Talk to me.