mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
HELLO JF
Natafuta mwanamke wa kuowa yule atakaeleta utulivu katika nafsi yangu
sifa za ninaemuhitaji ni:
1 awe mrefu kiasi si chini ya futi 5.0
2 awe na si muajiriwa
3 awe anatoka katika makabila yanayochezwa unyago (ikiwa ni tanga itapendeza)
4 awe maji ya kunde au mweupe kiasi
5 awe muislamu
6 awe mwembamba na figa yenye mvuto
7 awe tayari kuishi nje ya mkoa aliozaliwa
8 awe tayari kupima na kufunga ndoa kwa haraka
yoyote alie na sifa ama anaehisi kuna mtu anaweza kusaidia kufanikisha azma hii kwa ajili ya allah basi ani PM nimpe mawasiliano yangu niko serias juu ya hili .
anaehisi hana mchango basi apite asichangie
PM zote zitajibiwa ndani ya wakati na nivizuri kunitumia namba yako nitakupigia mm.
asanteni