John Gelas
Senior Member
- Apr 25, 2012
- 168
- 7
Jamani mimi ni kijana ambaye nimekuwa nikiishi Maisha ya usingle sasa nahitaji kua na mwenza nina umri miaka 22 nahitaji Mchumba mkweli ili baadae nimuoe awe Umri kati ya miaka 20 hadi 25 sichagui Dini wala Kabila.