Wana jamii, mimi ni mwanaume mkamilifu kabisa, nina miaka 34, nina mtoto1. najitokeza kwenu kutafuta mwanamke wa kuoa, awe mwelewa, mwenye hofu ya Mungu, awe amekua kiakili na kimwili pia.
Akitaka kujua zaidi, PM. NB: kwa mwenye mtoto anapewa kipaumbele kwani naamini amekua kiakili.
Akitaka kujua zaidi, PM. NB: kwa mwenye mtoto anapewa kipaumbele kwani naamini amekua kiakili.