Nahitaji rafiki wa Kike/ Girlfriend

Nahitaji rafiki wa Kike/ Girlfriend

Al Adawi

Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
91
Reaction score
38
Nimekuwa Single kwa muda sasa. Ninahitaji binti,kwa kuanzia,rafiki,na labda kadri muda uendavyo kuingia phase nyingine ya maisha.

Umri wangu miaka 30,Dini mkristo,Kabila Mu-Ikizu,Elimu yangu,Chuo kikuu+Professional studies,Umbile, mwembamba,si mrefu sana.

Sifa za nitakazo,Elimu seconday/Chuokikuu,Dini-mkristo/Muislamuumri20hadi26umbilewastani,na nyongeza ya sifa kwake ni added advantage.Pm zinakaribishwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom