Msichana wako wa kazi unamlipa ngapi?

Msichana wako wa kazi unamlipa ngapi?

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,419
huu uzi utasaidia kujua on average msichana/kijana wa kazi kwa sasa anapaswa kulipwa bei gani kw amwezi ili kutimiza majukumu yote ya nyumba................
haya taja.....
 
what does it have to do with love-connect ?
 
what does it have to do with love-connect???

Kwa sababu housegirls ni wasaidizi wa wamama kwenye kazi zote za "nyumbani"

Wanawalipa 30k na mabinti hawalalamiki unategemea nini?
 
Mii nilichoshwa na wabongo, beki 3 wangu ni Mmalawi, namlipa elfu 70!
 
Kwa sababu housegirls ni wasaidizi wa wamama kwenye kazi zote za "nyumbani"

Wanawalipa 30k na mabinti hawalalamiki unategemea nini?

kama ni msaidizi na ile kazi muhimu hapo sawa maana unaposema kazi zote sijakuelewa
 
buku 30.kazi yake ni kulea wanangu tu.mengineyo anafanya waifu
 
Back
Top Bottom