Aliyetayari kuolewa

Aliyetayari kuolewa

Masai Mara

Senior Member
Joined
Dec 25, 2014
Posts
134
Reaction score
54
Habari za xmass wana jf,
Kama title inavyosema, nahitaji binti aliyetayari kuolewa anipm, awe na vigezo vifuatavyo
Miaka isizidi 28
elimu isiwe chini ya form 4
kabila lolote
Mwenye heshima, mpole na mkarimu
Awe anafanyakazi au biashara

Aliye tayari tu ndio anipm

Nawasilisha
 
Nadhani kwa leo wako busy sana jana walilala kanisani,rudi tena 2015 watakua yatari......
halafu CV yako haina makuu form4 tuuuuuuuu hutaki profesa wewe wala hujali dini gani subiri waje..........
 
Hivi wasio na heshima, ukarimu na wasio wapole wanajijua? Nawaza tu....
 
Nadhani kwa leo wako busy sana jana walilala kanisani,rudi tena 2015 watakua yatari......
halafu CV yako haina makuu form4 tuuuuuuuu hutaki profesa wewe wala hujali dini gani subiri waje..........

Wanawake Waliosoma Sana Hawajui Upendo Wala Maisha Ya Ndoa Yakoje Muda Wote Wanajiona Wako Sawa Ndani Ya Nyumba Hivyo Kunakuwa Heshimaless
 
Nataka wa kumgegeda tu halafu namlipa leo bhaaasi

Nenda Uwanja Wa Fisi,buguruni,sinza Ambiance,kona Bar,kijitonyama,na Kwenye Bar Zote Za Hapa Mjini Hela Yako Tu Maana Huko Hakuna Kutongozana Ni Dau Tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom