kwa mara nyingine,mimi ni mwanaume wa miaka 27,mrefu wa futi 6,mweusi wa maji ya kunde,mchaga na mkristo safi.
Elimu degree of banking and finance.
Kwa sasa nmejiajiri kwenye kilimo.
Mke...
hivi kuna uhusiano dhabiti kati ya hayo mambo mawili kutafuta mume kwa kuangalia kabila?
kina ukweli mapenzi ya mtu yana uhusiano moja kwa moja na kabila lake hasa kwa nyie wakiume?
Mimi ni kijana mtulivu na mtanashati,najitokeza humu, nia ya kutafuta rafiki mzuri na mstaarabu ili kuwa rafiki yangu wa kudumu. Aliye na kigezo cha uzuri na ustaarabu kama mimi ani pm namba yake...
Habari za wakati huu wapendwa wana Jf,
Humu tupo wengi wa sehemu tofauti tofaut na pia rika tofauti ningependa tufahamiane jamani so kama upo online jiachie usisite hii ndo time yetu...
Habari wa kuu,
Namshukuru Mungu kwa kutufikisha siku ya Leo,mmi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26,mwenye kimo cha kawaida,natafuta msiçhana mwenye umri kuanzia miaka 18 mpaka 25 ...
Mimi ni kijana wa umri wa kati nafanya biashara nimejiajiri,nimeamua kutafuta rafiki wa kike wa kudumu ambaye kama tutaelewana atakuwa mke wangu kigezo kikubwa ni kujitambua.
Habari,
Kwa jina naitwa Carlson mwenye umri wa miaka 28, natafuta rafiki wa kike ambae tutakua na ndoto za kuoana baada ya kufahamiana. Mimi nipo chuo mwaka wa pili umri wake awe na miaka 25-28...
habari zenu wakuu
hope mmeshinda poa
kwanza kabisa ningependa tumshukuru mungu kwa kutulinda na kutupa pumzi yake mpaka hivi sasa (wote tuseme amin)
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Ninaishi Dar. Nina elimu ya chuo kikuu. Natafuta mpenzi wa kike. Sichagui kabila, dini wala rangi.
Aliye interested anipm
Mimi ni kijana nasafiri kuja Dar Jumatano na ninatafuta dada wa Dar atakayenionyesha hilo jiji kwa sababu nitakuwepo pale kwa wiki mbili kikazi na ningependa kujua sehemu kadhaa kama vile beach...
Wadau,
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka kati ya 25-26.Ninatafuta mchumba mwenye tabia njema na upendo wa dhati, awe na umri kati miaka 24-22.Sibagui dini wala kabilaa kwa alie tayari...
Habari zenu,
Mimi ni jinsia ya kike natafuta mchumba umri kuanzia 40yrs na kuendelea awe mwaminifu na mwelewa, mengi zaidi tutaongea ani PM kwa maelezo zaidi asiwe mume wa mtu,
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.