Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni msanii wakuigiza yani studenti of the year or drama. Napenda sana kipaji hiki ila suport hamna japo mafanikio yapo.
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Nahitaji mwanamke Sifa; Anayejitegemea,mcha Mungu,mtulivu na asiye na tamaa. mwonekano mzuri umri 20-32 mnene au wastani. Aliyetayari atume (PM) private message
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nina miaka 26 ,elimu yangu degree,nimeajiliwa selikalini,naishi mbeya. Natafuta mchumba au mke wa kuoa . Vigezo awe na elimu kidato cha nne na kuendelea,mweupe,sura nzuri,asiwe mnene pia awe na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mimi ni binti wa miaka 22 natamani niwe na mchumba kutoka humu.Mie bado mwanafunzi ila wachuo Sifa zangu: Rangi yangu maji ya kunde nina macho ya kusinzia, nina lips nzuri, ninamguu mzuri, chuchu...
8 Reactions
215 Replies
29K Views
Mimi ni KE, nina miaka 27, natafuta rafiki wa kiume kuanzia miaka 33-40, awe anajitambua, mkristo na awe na shughuli inayoeleweka na halali, elimu yake iwe kuanzia Diploma hadi PHD, mwenye nia...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Nimeshakuwa katika mausiano na wasichana tofauti, mara ya mwisho nilikuwa na mahusiano na dada wa kijerumani,huyu kwa mara ya kwanza tulifikia mpka kutambulisha kwa wazazi.Siku kadhaa zilizopita...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Mimi ni binti wa miaka32 Nina mtoto1 wa miaka5 nimeokoka nampenda yesu umefika wakati nahitaji mwenzi wangu wa maisha awe na umri34-42 awe mwenye mapenz ya kweli atakaenipenda km nilivyo mtafutaji...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Mimi ni mwanamke umri miaka32 Nina mtoto 1 wa miaka 5 nimeokoka nampenda yesu ila umefika wakati nahitaji mwenzi mwenye mapenzi ya kweli nitakaefunga nae ndoa na awe ni mtafutaji kama mimi...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Habari zenu, Hali ya hewa ni bariki huku nahitaji mke wa makamo miaka 30 mpaka 35 kwa mahusiano ya muda mrefu mimi nina 25. Nicheki kwa 0764852965
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Natafuta rafiki wa kike awe na umri wowote na dini yoyote. Mimi nipo Dar. Kwa yeyote aliyetayari tuwasiliane kupitia namba 0783517972 pia napatikana whatsapp kwa hiyo namba. Nipigie au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello JF, Rafiki apa aged 29. Nina elimu ya chuo (shahada ya kwanza). Ninafanya kazi, napenda mpira wa miguu, kuogelea, kwenda beach kupata upepo wa bahari, kusafiri, kuwa na furaha na kuna watu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Umri wangu 28 nina kazi yenye kipato cha kukidhi,natafuta mwanamke mwenye kuanzia miaka 22-25,awe mzuri,sibagui rangi, kabila, kipato ila dini awe mkiristu.
0 Reactions
2 Replies
992 Views
Habari wanajamvi, Natarajia kuamia Mtwara mjini kikazi ningependa kupata msichana/mdada anaeishi mMwara awe rafiki just a company ikibidi tuwe wachumba vigezo umri miaka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta msicha mwenye upendo wa dhati, hekima na heshima. Mi naendelea na masomo nawaita kuingia chuo for sure Please be serious, aliyetayari namba hiyo 0717305883
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Mimi ni kijana natafuta rafiki wa jinsia yoyote ile so if u r interested don't hesitate. Let's exchange our contact and make a good friends
0 Reactions
1 Replies
792 Views
I need a friends to chart with on whats app,comment ur no# i will text you. lets share pics & videos welcome!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Iam Edu, 26 looking for you poor lady under 22 for coupling, neither ur education nor your business neither your color nor your height as long as you you will fit my poverty soul. Pm or 713 123...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Natafuta rafiki wa kike umri 30-50 mie 45 awe anajitambua na kujiheshimu namba ya simu itatolewa baada ya kupata muitikio
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta marafiki wa kike waishio Dar umri ni 18 na kuendelea nia na madhumuni ni kukuza na kuanzisha uhusiano mpya. Namba yangu ni 0756979566.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta mke mwenye umri kati ya 24-28. Mm nina umri wa miaka 30. rodneykihuriko21@gmail.com kwa maelezo zaidi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom