Natafuta mke, awe anakaa Arusha

Natafuta mke, awe anakaa Arusha

Mbona hapo arusha kuna watoto wazuri hvyo tena waliojaaaliwa zile neema za alah?!
 
Preta unahitajika huku kwa ushauri zaidi. Hivi bado unaishi maeneo yetu yale?
 
Last edited by a moderator:
Preta unahitajika huku kwa ushauri zaidi. Hivi bado unaishi maeneo yetu yale?

mwambie kijana aje nimpeleke Safina.........kule atatoka na lundo.........hebu muulize kama atapenda kuja na mimi........
 
hapo sombetini umekosa kabsa hapa ni hatari sana sheikh unaweza fikri umepata kumbe umepatikana.
 
hahah mhh.. hii kali. usijal km upo arusha tutakutana tuu... I don need to email you.
all the best.
 
Jirani mi sina kigezo hata kimoja

Jirani hapo mi chitakhiiiii... Hebu vheki vigezo alivyowe na ujibu maswali yangu jirani..
1.Narusha uzi huu kwa nia ya kumtafuta mchumba mwanadada wa kuishi nae..... Jirani ina maana wewe si mwanadada..??
2. Kwa ujumla nataman kupata mtu mwenye umri wa kwanzia 25 - 29 ........ Hapa labda, sijui lakini.... Ila hapanaaa unafiti banaa
3. Anatakiwa mtu mwenye uelewa............. Jirani ina maana wewe huelewi..??
4. Mchapa kazi ...
Jirani ina maana wewe si mchapa kazi..??
5.
Waweza niandikia kwa chrisbrandis88@gmail.com ...... Jirani kuandika huwezi kweli..??
6. Nitakujib bila shaka but uwe sirious .... Jirani ina maana huna kigezo cha kujibiwa..??? Au hauko serious...???

Jirani APPLY banaaa
 
Sasa jirani labda unisaidie kuandika hiyo imel ha haaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom